Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu..mtoto miaka 6 anaenda 7 hiv ni haki kulala na wazaz..mama yake anangangana kua ni kawaida. Ana chumba chake kizur na cha gharama kwel ila toto linataka lala na mama. Mnaonaje wakuu hil...
1 Reactions
6 Replies
19 Views
Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu. Sababu ni kwamba Kolozidad hawampi thamani pia haoni mipango...
3 Reactions
13 Replies
90 Views
Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
3 Reactions
18 Replies
284 Views
kumekua na kasumba ya wasanii wetu tunao waita KIOO CHA JAMII kujirekodi kipindi wakiwa falagha (UTUPU WA MNYAMA) bila ya kujali jamii inawatazama vipi na bila kujali kuwa jamiii ina watoto...
1 Reactions
9 Replies
90 Views
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu...
5 Reactions
95 Replies
459 Views
RAfiki yg amenichamba kwamba nanuka uchi naombeni ushauri nahisi kuua mtu Mimi ni mama wa watoto 3 na nimeolewa; ndoa yangu ina miaka 7 sasa. Mimi na mume wangu tulikuwa vizuri, lakini mwaka...
1 Reactions
19 Replies
301 Views
Kwanini watumiaji wengi wa kinywaji cha eneji ni madereva wa vyombo vya moto?
0 Reactions
3 Replies
27 Views
Sisi watumishi akili zetu zimekubali kuongozwa na maandiko. Maandiko katika kutoka 21:10 inatoa list ya mahitaji ya muhimu kwa mke au mwanamke. 1: Chakula. 2: Mavazi. 3: Ngono. Kabla...
14 Reactions
47 Replies
860 Views
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu Shemsa Seif Mohammed amemshukia Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Joelson Mpina kuacha siasa za Majitaka na badala yake ajikite kuwatetea...
0 Reactions
6 Replies
450 Views
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
9 Reactions
159 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,807
Posts
49,495,816
Members
666,842
Latest member
elly sijo
Back
Top Bottom