Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na...
Rapa Kanye West amefunguka kutamani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Michelle Obama.
Kanye West has revealed his desire to have a threesome...
RAfiki yg amenichamba kwamba nanuka uchi naombeni ushauri nahisi kuua mtu
Mimi ni mama wa watoto 3 na nimeolewa; ndoa yangu ina miaka 7 sasa. Mimi na mume wangu tulikuwa vizuri, lakini mwaka...
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Happy union day everyone!
Leo nimewaza hiki kitu nikaona si vibaya kushare kinaweza kumsaidia mtu mahali.
Hivi ulishajiuliza incase umepata emergency yoyote mahali, ikatokea hujielewi, watu...
Nikiwa nimemaliza chuo sina hili wala lile, niko kitaa nikijipanga, nikachangiwa na ndugu zangu mtaji wa milion 4 point something huko, niende nikafanye biashara ya mchele toka Moro vijijini...
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.