Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wa JF, Katika pita pita zangu mitandaoni hasa JF na instagram nimeona kuna kampuni/watu wanaofanya huduma za kuagiza magari nje kwa masharti ya kulipia nusu na kumalizia kiasi kilichobaki...
39 Reactions
144 Replies
16K Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
81 Reactions
552 Replies
13K Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeangalia video inayomuonesha Mheshimiwa Shukuru Kawambwa waziri wa zamani na mstaafu katika serikali ya awamu ya nne chini ya uongozi wa Rais Mstaafu Mheshimiwa Daktari...
9 Reactions
51 Replies
1K Views
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
27 Reactions
243 Replies
5K Views
Sijajua shida ni kabila au Nini, lakini Leo nimemchezeshea kichapo sio kidogo, Iko hivi: juzi nimerudi nikiwa nimehemea sikupokelewa nikakausha, Jana nimerudi nikiwa nimehemea nikapondewa vitu...
11 Reactions
41 Replies
808 Views
Nimesikitika Sana kwa mtu kutumia jina la Waziri Mkuu, Rais wa Zanzibar na cheo Cha jeshi JWTZ halafu anaogopwa. Huyu mtu Jenerali Mwamwega hayupo JWTZ na Wala hafanyi kazi Ikulu ya Zanzbar ila...
4 Reactions
25 Replies
240 Views
  • Poll
Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
24 Reactions
865 Replies
34K Views
1. Alisema Abraham Lincoln: 2. Hawa ndiyo wale vijana jeuri akiwataka sana Nyerere (RIP): 3. Sasa kimenuka Marekani; kumeibuka vijana jeuri wasiotaka kuwaona wala kuwasikia tena wa aina ya...
6 Reactions
29 Replies
709 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,937
Posts
49,500,955
Members
666,887
Latest member
abdallah kheri
Back
Top Bottom