Wana JF mko poa tupeane pole juu ya hizi mvua zinazoendelea Nchini.
Kwa muda sasa hii hali imekua ikinitatiza huku nikibaki bila kujua hatma ya hii hali itanitoka lini na sijui hata ni nini...
Hii nyuma nimejenga mwaka 2000 Kwa kufuata vigenzo vyote vya ufundi.
Nimeshangaa hizi mvua za mwaka kuna chumba nikiingia nakuta wet kuna majimaji, naagiza papigwe deki pakaushwe nikija tena...
Habari wanajamii forums, ninahitaji wadau waliopo Dubai au China naomba kujua ajira zinazopatikana huko, deals au biashara za kufanya ukiwa uko ili kutengeneza kipato ukiwa huko huko.
Pia wadau...
Salaam, Shalom.
Miaka ya 90 kurudi nyuma, yalikuwepo majiko ya umeme katika nyumba nyingi za watumishi wa umma, mapolisi, mahakimu, bankers, watoza ushauri, matajiri nk nk.
Matumizi ya majiko ya...
Sasa tutaendelea kuwaletea taarifa za Watuhumiwa hawa kila baada ya muda mfupi , maana wanahamishwa hapa na pale kama Adamoo , Mbinu za Polisi wa Tanzania ni zilezile tangu mkoloni
Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi!
Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika
Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio...
Hiyo sehemu inaonekana ilikua imejengwa sana na imepigwa haswa hadi Umoja wa Mataifa wanasema itachukua miaka 14 kuondoa vifusi...
UN official says it could take 14 years to clear debris in Gaza...
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.