Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli
Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya...
Umefika wakati sasa, tuwaamini akina mama katika kujenga Jamii yenye usawa kiuongozi. CCM wamefanya vizuri sana na kwa hakika wamefungua njia, hivi punde tutashuhudia teuzi mbalimbali zote...
Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota...
Kwa wale waliomaliza kidato cha nne na unapenda kutimiza ndoto za kielimu na chuo cha USTAWI WA JAMII-DSM nafasi za maombi ziko wazi kwa wale wa ngazi za cheti.SIFA STAHIKI :Passed nne(D) na...
Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu.
Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu.
Wadudu OG ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.