wakuu wasaalamu.
Kama kichwa cha Habari kinavyosema. Nimeona wanaume wengi sana wenye wake zaidi ya mmoja, Lakini kitu kinachonishangaza Hawa wanaume utakuta Mke mkubwa anaishi wilaya hii mwingine...
Wakuu habar, kama kuna kijana anataka kufanya biashara ya viatu vya kike vya spesho,basi namkaribisha sana kwenye tasnia hii,niauzoefu wa kutosha, Najua changamoto zake, aina gani ya viatu...
Good evening,
Moja kwa moja kwenye mada, naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi.
So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike...
Happy birthday Muungano, how old are you now?
60 years!!!
Leo tare 26/04/2024 Muungano wetu Kati ya Tanganyika na Zanzibar= TANZANIA Umetimiza miaka 60....huu ni umri wa mzee mtu mzima...
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
Wazazi, hivi huwa mnaketi na watoto wenu na kuzungumza nao juu ya maisha Yao shuleni? J
uzi kwenye MITANDAO ya KIJAMII imesambaa video ikimuonesha Binti aliejulikana kwa Jina la "Mariamu"...
Nimemsikia Waziri wa Nishati Bw. Biteko akisema Serikali imelazimika kuzima mitambo ya kuzalisha umeme kwenye bwawa la Mwl Nyerere kwa kuwa matumizi ya umeme nchini ni madogo kuliko uzalishaji...
Mfano ni stand ya Mangaka iliyopo nanyumbu ni kali kuliko stand za songea, Mtwara, Lindi.. Serikali inakuwa inaonaje kuipa wilaya kipaumbele ilihali watu wengi wako mkoani na mzunguko uko mkoani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.