Tarehe 10/04/2024 nilikutana kimwili na mpenzi wangu ambae sikuwa nae kwa muda nilikuwa safarini.
Nilipokutana nae sikutumia kinga kwan ni muda mrefu sana nilipima nae na tulikuwa negative...
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
Rais Samia ni Rais ambaye kazi yake ya urais haiwezi vitu vinapanda bei kila siku, upatikanaji wa pesa umekuwa mgumu Sana kwa sababu Kuna mdororo wa uchumi ambao unaathiri mzunguko wa pesa...
Habari,
Africa tumekuwa kwenye kiza kisichojulikana kwa miongo kadhaa, wachongaji wengi utasikia wakisema msiabudu mizimu ya mababu zenu, mara mizimu inaleta nuksi, mara watu wamefungwa na...
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia.
Hali ni ya kutisha...
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019.
Amefanya hivyo kupitia...
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip...
Muungano OYEEE!!
Wakuu!
Kumekuwa na wimbi la wanaoitwa wataalamu wa afya na lishe kukosoa karibia kila aina za vyakula tunavyotumia kila siku.
Utasikia ugali ni chakula hatari sana kwa afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.