Wakuu natizama maadhimisho ya muungano,idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe,je ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa...
Nilijua kuwa Makonda kwa staili na hulka yake hasingeweza kubaki kwenye nafasi ya Katibu mwenezi wa CCM kwa muda mrefu na imetokea.
Pia Makonda kubaki RC wa Arusha ni suala la muda tu.
Makonda...
Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi!
Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika
Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio...
Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wangi sana sasa ndugu yangu rajabu si...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
1. Gaza ni kaeneo kadogo ka size ya kinondoni, ilala au temeke huko; kigamboni, bagamoyo, Pemba au Mafia ni kukubwa mno kuliko Gaza.
2. Vi kinondoni, ilala, au temeke huko ni vi mikoa vya...
Salamu Wakuu, hii ni kutoka kwa wanaotuma anonymous confessions;
"Hivi ni mimi tu nikienda bank kutoa pesa kuanzia 10M huwa nakuta pungufu ya noti? Mfano unakuta kibunda kimoja kina noti 96-97...
Wiki ya Maandamano bado inaendelea , ambapo leo imefika Mkoani Mara .
Hapa Mkoani Mara anayeongoza Maandamano haya ni yule yule Mwamba Kabisa Freeman Mbowe
Usiondoke JF kwa vile inatarajiwa...
kwa siku, wiki, mwezi au mwaka kwa upande wako unaspend muda mrefu na bando kubwa zaidi ya data ukiwa kwenye ukarasa upi miongoni mwa kurasa nyingi tu, za mitandao ya kijamii humu duniani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.