Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za uhakika ni kwamba yule Kocha aliyefeli vibaya simba kuliko makocha wote ameomba kuondoka simba ifikapo mwisho wa msimu
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
78 Reactions
505 Replies
11K Views
Happy union day everyone! Leo nimewaza hiki kitu nikaona si vibaya kushare kinaweza kumsaidia mtu mahali. Hivi ulishajiuliza incase umepata emergency yoyote mahali, ikatokea hujielewi, watu...
0 Reactions
1 Replies
7 Views
Wapendwa kmvua hakiachi toka jana. Na hivi leo Muungano pa kwenda hakuna. Wengine wasimbe hatuna babe. Basi tusaidiane hata majina ya movie za kuangalia siku ipite wapenzi. Nasubiri maoni yenu...
4 Reactions
58 Replies
266 Views
Nikiwa nimemaliza chuo sina hili wala lile, niko kitaa nikijipanga, nikachangiwa na ndugu zangu mtaji wa milion 4 point something huko, niende nikafanye biashara ya mchele toka Moro vijijini...
184 Reactions
2K Replies
458K Views
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi...
22 Reactions
143 Replies
4K Views
Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa...
9 Reactions
153 Replies
1K Views
Nimechukizwa sana kuona majeshi yetu yanaonesha umahiri wao wa kubeba kilo 70 za mizigo. Nilitegemea ktk zama hizi jeshi liwe linafanya vitu visivyohitaji nguvu bali viwe vinahitaji akili na...
19 Reactions
85 Replies
2K Views
Rapa Kanye West amefunguka kutamani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Michelle Obama. Kanye West has revealed his desire to have a threesome...
3 Reactions
22 Replies
497 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,798
Posts
49,495,613
Members
666,823
Latest member
jay_mtani
Back
Top Bottom