Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Shirikisho la soka duniani FIFA limetumia rangi za rainbow 🌈 kwenye profile yake hii ina maana gani kwa s mashabiki wa football wasi unga mkono hayo mambo pia kwa vyama wanachama wausio unga mkono...
0 Reactions
10 Replies
140 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama ni Wafuatiliaji wazuri wa siasa za nchi hii mtakubaliani nami na ukweli kuwa Dkt Slaa amekuwa na Udini mkubwa sana ndani ya kifua chake. Amekuwa na na chuki binafsi...
2 Reactions
58 Replies
204 Views
Habari zenu, Kama kichwa kinavyoonesha,nahitaji mume. Mimi ni mwanamke Mkristo umri wangu ni miaka 35. Kwa sasa nimeajiriwa taasisi binafsi. Nahitaji mwanaume anayejitambua, mkweli, mtafutaji...
4 Reactions
28 Replies
273 Views
Natumaini Mko Salama Wapendwa wa JF, Huu ni Mtazamo wangu Binafsi Lakini kwa Namna Moja Ni Uhalisia Kwa Baadhi ya watu. Sisemi Kuwa Maisha Yangu Yameharibika Lakini Yamebadilika Mabadiliko...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wadau Kama kichwa cha habari kinavyo sema. Nina uhakika kila siku naota ndoto nikiwa usingizini, lakini cha ajabu ni kwamba nikiamka tu asubuhi sikumbuki ndoto hata moja. Ni...
6 Reactions
213 Replies
2K Views
Vijana nchini tumekuwa watumwa, kwenye Kaampuni kutwa tunashinda tumevaa tshirts yenye logo za kampuni na hatulipwi ipasavyo Kukitumika kivuli cha kujitolea tuvaa nguo za kampuni kuliko mavazi...
1 Reactions
3 Replies
49 Views
Wakuu hii point inajisimamia yenyewe kabisa wala haihitaji kujaziwa nyama nyingi kiviiile maana mengi yako wazi sana kwa sasa - Hali ya kitaa inajulikana jinsi kulivyo kwa moto[emoji3533] -...
13 Reactions
74 Replies
2K Views
Kwa kawaida huunganisha thread zinazofanana au kuelekea kufanana,lakini Leo Kuna thread Tano zinazongumzia Israel kuokoa mateka,na mmeziacha zote,he,tufahamu kwamba mko bias,kiswahili...
1 Reactions
6 Replies
7 Views
Kutokana na malezi ya kisasa na mifumo ya kisasa ya maisha ile kanuni ya mtii mwanaume wako kwa wanawake wa kisasa ni kitu ambacho hawakielewi kabisa wala kujua maana yake wakiwa katika umri wa...
34 Reactions
255 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,861,444
Posts
49,830,591
Back
Top Bottom