ili kurejesha uimara wa misuli ya uume wako na kuifanya iwe komavu chukua kanuni hii
tafuta asali mbichi ya nyuki wa dogo
tafuta unga wa mvunje haltiti
tafuta mafuta ya zaituni...
Kuna uzi humu ulikuwa unaongelea vitu vya zamani vyenye ubora ambavyo kwa sasa havipo.
Nakumbuka mmoja wa wachangiaji alikuwa ni Mshana Jr na moja ya bidhaa iliyolalamikiwa kuchakachuliwa ni...
Chapisho la leo sina maelezo mengi. Ila naona vituko ni vingi sana kwa sasa. Sijui hii hali kitaalamu inaitwaje.
Kama na wewe unaona kama mimi basi dondosha vituko unavyoona twende pamoja.
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30.
Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
Wakuu mi nakataa kusema umasikini nilio nao umesababishwa na mindset yangu.
Naona Tu ni poor government imesababisha
Mfano:
Nimesoma hadi chuo ajira serikalini hamna, zikitoka chache za kujuana...
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri
Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia
Nadhani huu ni...
Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani.
Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.
Salaam, Shalom!!
Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri.
Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.