Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi ndugu zangu haya mawazo viongozi wetu huwa wanayaokota wapi? Badala ya kufikiria jinsi wananchi watapata gesi kwa bei nafuu na gesi iwafikie watu wengi zaidi yeye anawaza kuweka tozo na luku...
6 Reactions
17 Replies
258 Views
Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
10 Reactions
93 Replies
5K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
163K Replies
4M Views
Wakuu salaam Moja kwa moja kwenye topic. JE wewe una ndoto za ufugaji na hauna Banda? Je wewe ni mfanyakazi unayefanya kazi Moshi mjini au vijijini na hauna sehemu ya kufugia? Kodisha mabanda...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu. Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya...
55 Reactions
256 Replies
5K Views
Hapo zamani za kale alikuwepo Profesa mahiri na msema kweli. Aliwahi kuzungumza ukweli kuhusu Tanganyika na kuwa ipatikane sasa kwa hiari isisubiri kama yule Rais wa Romania.
5 Reactions
21 Replies
656 Views
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanazaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
12 Reactions
89 Replies
2K Views
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa. Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA. Hongereni Sana Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na...
18 Reactions
187 Replies
3K Views
Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
16 Reactions
93 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,379
Posts
49,602,602
Back
Top Bottom