Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
1 Reactions
13 Replies
108 Views
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanzaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
8 Reactions
38 Replies
389 Views
Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na...
5 Reactions
26 Replies
659 Views
Salaam Wakuu, Binafsi nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu tumbo la chini kulia, maumivu makali sana baadaye yanapotea. Baada ya vipimo vya x ray, ultra soun na CT scan imebainika nina mawe matatu...
3 Reactions
20 Replies
383 Views
Wakubwa habari zenu sikuizi sio mkaaji sana umu ila naomba ushauri wa njia ya kunisaidia kuacha pombe nakunywa adi naharibu kazi za watu naombeni ushauri kuhusu hilo wa kimawazo au kisaikolojia
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni...
19 Reactions
5K Replies
532K Views
Habari wakuu nauza Mahindi! Gunia moja la kilo 100 ni shiliingi 50,000. Yapo magunia 150. Mawasiliano +255 687 391 885
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habar za wakati huu wanaJF? Binafsi nimekuwa nikipata shida kidogo kuelewa nini tatzo hasa ninapoamua kununua na kula tikitimaji siku za karibuni, nakumbuka miaka ya nyuma ktk matunda yaliyokua...
2 Reactions
59 Replies
1K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
  • Suggestion
Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli? Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni...
0 Reactions
2 Replies
22 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,956
Posts
49,590,360
Back
Top Bottom