Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Matcha Day NBC Premier League Mashujaa Vs Yanga Lake Tanganyika Stadium
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya...
6 Reactions
40 Replies
1K Views
Vita ya urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA. Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa...
2 Reactions
35 Replies
929 Views
Nimeajiriwa ngazi ya chini serikalini lakini naona mambo hayaendi kabisa. mwanzo nilipoajiriwa nilikuwa nafuraha lakini siku zinavyoenda mambo yanaenda ndivyo sivyo. Nina mawazo kuacha kazi...
18 Reactions
116 Replies
2K Views
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA. Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na...
11 Reactions
39 Replies
779 Views
Camarades, na Wadau wa Mpira.., ni ukweli usiopingika kwamba Ligi yetu haina ushindani na Timu nyingi ni masikini na mashabiki hakuna kutokana na ushindani mdogo... Kwa ushauri ni kipi...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Baada yakupandwa hasira na kuamua kuondoka nchini hivi karibuni na kurudi kwako, Habari za hivi punde ni kwamba yule kiungo mwenye mwendo wa bibi harusi, mwendo wa pole kama mdudu aina ya konokono...
4 Reactions
9 Replies
155 Views
Kitendo cha mkuu wa nchi kukimbia sherehe za Mei mosi eti kwa sababu kikokotoo ni mwiba kwa wafanyakazi ajue kuwa hapo hajatibu chochote. CCM katika zama hizi isiamini kushinda uchaguzi mkuu kwa...
19 Reactions
120 Replies
3K Views
Hii imekuwa mpya kwangu katika harakati za kutafuta kibarua. Nimeambiwa niandike proposal ya namna ambavyo nitaweza kuongeza wateja na kukuza biashara. Ni upande wa Administration ya Hotel.
3 Reactions
16 Replies
157 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,268
Posts
49,568,638
Members
667,844
Latest member
madoree
Back
Top Bottom