Hili ni swali lenye lengo la kuhitimisha Mjadala wa kero za Muungano .
Tunataka kujua kama Micheweni, Kikwajuni, Chakechake au labda Kizimkazi kama ameonekana DC yeyote mwenye vinasaba vya...
Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari.
Kitaalamu hii inaitwaje?
JamiiCheck fanyeni utafiti mje na...
Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani.
Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie...
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote
Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa...
Kuna watu ustaarabu sifuri mtu kakukuta unakula mgahawani akaja kukaa kwenye meza yako ukaona utumie ustaarabu kumwambia na yeye aagize chakula maana sio vizuri kula huko mtu anakutazama usoni ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.