Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Wakuu kuna jambo linanishangaza, mimi sio mweusi sana ila li kizimkazi langu ni jeusi tii utadhani liling'olewa sehemu likawekwa kwangu. Kitaalamu hii tunaitaje?
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
Mtangazaji Nguli, Mwanahabari na Mwandishi wa habari mashuhuri Afrika Mashariki na Kati, Salim Kikeke amejiunga na Redio/TV ya Crown FM/TV inayomilikiwa na Alikiba.
Hii ni baada ya Alikiba...
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
"SIKU MOJA MOJA SIYO MBAYA"
Leo nimekumbuka mwaka 2020 kipindi cha Pasaka, Jijini Arusha, hapo dili la ku-design michoro ya Majengo kadhaa ya Taasisi ya Kanisa limetiki na nka kabidhiwa pesa ya...
Hiki kipasso kinaenda km 12 kwa lita ya wese. Kutoka home hadi job ni km 12 yani km 24 kama ni kwenda na kurudi.
kwaiyo nahitaji kama lita mbili hivi kila siku au shilingi 6,514 (3,257×2) kwa...
Salaam, Shalom.
Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko.
Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.