Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
2 Reactions
10 Replies
115 Views
Ndugu zangu wana JamiiForums huko kwenu Hali ya umeme ikoje baada ya mvua? Huku kwetu tuna siku 3 mfululizo hatuna umeme maeneo ya vikindu kilongoni tumeshapiga simu weee jamaa wamekausha. Wengi...
0 Reactions
6 Replies
107 Views
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith. Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
111 Reactions
313 Replies
10K Views
Salamu nishamuachiaga ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa kina Cognizant Wakuu mimi binafsi huwa sijielewi nina matatizo gani!,yawezekana nikawa dhaifu kwa baadhi ya watu...
14 Reactions
71 Replies
3K Views
Muuza madafu amehojiwa na Ayo Tv na kusema yeye Siyo yule Komandoo ila ni Kweli wanafanana Muuza madafu amesema yeye anacheza kareti na boxing na anatamani sana kujiunga na mambo ya Ulinzi kama...
22 Reactions
186 Replies
8K Views
Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza...
16 Reactions
203 Replies
2K Views
Baada ya Mapumziko ya Jumapili, leo tena ile kazi ya Ukombozi wa Nchi inaendelea. Tundu Lissu anaongoza Maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mkoa wa...
7 Reactions
68 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya Usafi, House Boy. Elimu yangu ni kidato cha 6 pia nina cheti cha udereva🙏
3 Reactions
4 Replies
241 Views
Nimepita stand ya Nanenane Dodoma leo, kuna kitu sijakielewa. 1. Ukiingia na gari, wanakulipisha ushuru wa kuingia na gari na wanakupa tiket. 2. Ukipaki gari, unapoingia kwa abiria unalipishwa...
4 Reactions
24 Replies
509 Views
Nipo Dar es Salaam, na kuna mvua + Mafuriko ila nafuatilia yanayoendelea uko China kwenye Beijing Auto Show ya mwaka 2024, ilioanza tar 25 April hadi 4 May. Hii Beijing Auto Show kwa jina jingine...
28 Reactions
201 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,547
Posts
49,522,534
Members
667,165
Latest member
REBAMS
Back
Top Bottom