Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mnaosemaga US na EU ndo baba wa haki za binadamu mko wapi? Mnaoamini demokrasia feki za madola ya magharibi mko wapi? #BREAKING: The US threatens the International Criminal Court in The Hague...
0 Reactions
5 Replies
84 Views
Wakuu kwema!! Leo naomba ushauri humu jukwaani Nipo interested sana na biashara ya kuchana mbao na kuziuza. Kama Kuna mwanajamii yeyote anataarifa kuhusu hii biashara naomba asheee hapa Vitu...
2 Reactions
4 Replies
115 Views
- Humu kila mtu amejenga na anakaa kwake na kama amepanga basi bado hajaamua tu kujenga na sio kama amekosa pesa. - Walioamua kupanga nyumba basi wote wamepanga kwenye apartments moja matata sana...
4 Reactions
26 Replies
266 Views
Wakuu hizi habari zina ukweli au mambo ya vita za kibiashara?
2 Reactions
5 Replies
82 Views
Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza. Kuna ngoma kali kuishinda hii? https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
1 Reactions
13 Replies
164 Views
Kusema kweli jf kwani ni lazima mje na maboresho kila siku?App yenu ilikua poa sana siku za nyuma na miaka ya nyuma, labda changamoto ilikua ni baadhi ya nyuzi kutofunguka kwenye app labda kwenye...
0 Reactions
7 Replies
26 Views
1. Sare za chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa - TALGWU 2. Sare za chama cha wafanyakazi wa Afya na Serikali - TUGHE 3. Sare za chama cha walimu Tanzania (CWT)
0 Reactions
17 Replies
432 Views
Hakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara! Ni hivi kama kichwa kinavyojieleza hapo, Hivi sisi watu weusi tuna shida gani aisee? Kila alipo mtu mweusi katika Dunia...
7 Reactions
37 Replies
459 Views
Mzuka Wanajamvi! 2019 nilitabiri humu humu jamvin Liverpool itaifunga Barcelona 4-3 nusu fainali mechi ya marudio UEFA champions league na kuchukua UEFA dhidi ya Tottenham fainali. Nilibezwa na...
6 Reactions
39 Replies
930 Views
Unapofanya tendo la ndoa na Mtu yeyote, unajenga muunganiko wa kiroho na kimihemko, na huyo mtu. Ni jambo gumu sana kumsahau mtu ambaye mlikuwa na uhusiano wa namna hiyo, hamjaachana Kwa vita au...
10 Reactions
38 Replies
828 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,547
Posts
49,522,455
Members
667,164
Latest member
REBAMS
Back
Top Bottom