Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Wakati umefika Sasa wa Serikali Kufanya maamuzi magumu Kwa kushirikiana na DRC na kuanza Ujenzi wa Daraja litakalokatisha Kwenye Ziwa Tanganyika. Daraja Hilo kinaweza kujengwa kati ya Bandari ya...
12 Reactions
128 Replies
3K Views
Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??. jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
20 Reactions
167 Replies
2K Views
Tunapenda kuwakaribisha wateja wote wenye mahitaji ya kazi za aluminium na upvc, kufanya kazi nasi. Tuna mafundi bora wenye uzoefu na weledi wa kazi, tunafanya kazi kwa uaminifu kwa kuzingatia...
0 Reactions
5 Replies
113 Views
Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii. Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
266 Reactions
162K Replies
4M Views
Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe,mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote? Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi? Nimeona serikali inataka...
4 Reactions
50 Replies
421 Views
Nahisi kama Kocha ndio tatizo, huwa hana plan japo ana players. Imepigwa ndani nje Mechi 3 no goal huku timu inawachezaji wa bilioni 10 Kocha afukuzwe na kina Zwane Shilule hawana impact ni...
24 Reactions
129 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,170
Posts
49,510,474
Members
666,991
Latest member
swel
Back
Top Bottom