Baadhi ya matendo ya Jeshi la Polisi, yanawafanya wananchi wema, wenye hekima na uzalendo kwa Taifa lao, kujiuliza:
1) Jeshi la Polisi ni sehemu ya ujambazi na uharamia?
2) Au ndani ya Jeshi la...
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde.
Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo...
Habari wakuu
Hivi mbona msanii chid benz haponi kile kidonda chake cha mguuni maana tangu ameanza kuumwa kile kidonda sasa yawezafika mwezi wa nne au watano, nini tatizo?
Maana Jana kapanda...
Wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam na unahitaji Simu Kali kwa Gharama Nafuu?
Huitaji kuhangaika mambo yawe mengi tucheki moja kwa moja dukani.
MZIGO NI MPYA & GENUINE
Pia tunafanya huduma zote ya 🔝...
Wadau nimekuwa nazifuatia Mali za CCM.Wakati wa Mfumo wa Chama kimoja cha SIASA ilikuwa WANANCHI wote bila kujali ni mwanachama wa CCM au Huna chama ni LAZIMA uchangie Maendeleo.Wakati wa Ujenzi...
Wewe fikiria utembeee mwaka mzima peku na kusafiri peku nani anaweza hilo?
Mimi najuwa ili upate kibali kuna gharama za kulipia kibali hakiji hvhivi japo Kuna bahati pia.
Hapa ni baadhi
1. Mbege
2. Dengerua
3. Pingu (Pombe hii mama muuza hakupi hadi ahakikishe kwanza umevaa suruali au pajama ndefu hadi chini kwenye vifundo vya miguu. Hapa mteja lazima ufungwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.