Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada.
Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu...
Habari wadau!
Naomba kujua mchakatoa wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma...
Hao wafia Dini wanaoandama kuitetea HAMAS halafu Polisi wa Marekani wanawagusagusa tu,hebu Serikali ya Marekani waombe msaada kwa Tanzania kuzima hayo maandamano.
Vijana wa FFU wapewe hiyo...
KICHWA Cha habari kinajieleza wakuu yaani naeweza kufungu app ya JAMII forum Lakini MB zinatembea vibaya mno katika GB 4 zinakauka fasta.
Wakuu inaweza kuwa shida Nini na nifanye Nini Kama Kuna...
Ukiangalia ishu ya malisa na boniface utagundua tatizo sio polis bali kuna kigogo mmoja anawashurutisha wafanye haya wanauofanya kuwalaumu polisi ni kuwaonea
Mzizi wa tatizo ni igp kuteuliwa na...
INTRO
Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.