Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari Ndugu wa Jf, Natumaini wazima nilikuwa naomba ushauri wa bizness nina 1millon naweza fanya biashara gani Dar es Salaam
3 Reactions
7 Replies
146 Views
Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona. Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili...
2 Reactions
30 Replies
422 Views
Kampuni ya ByteDance ambayo ni Kampuni mama ya Mtandao wa Kijamii wa TikTok, imeshikilia msimamo wake kuwa haitauza mtandao huo licha ya tishio la kufungiwa nchini Marekani. Bunge la Marekani...
3 Reactions
11 Replies
268 Views
Droo ya robo fainali ilipotoka nilishangaa watu kuwaogopesha yanga kuwa mamelodi watawafunga na kuwapongeza Simba kuwa wamepangwa na vibonde. Ashakhum si matusi, mashabiki wabongo pamoja na...
4 Reactions
36 Replies
585 Views
Naitakia Simba Ushindi. nguvumoja .
5 Reactions
32 Replies
698 Views
Mabasi mengi ya kwenda Mikoani huwa yanafungulia nyimbo za Injili kwanzia mwanzo hata mpaka mwisho wa safari. Kitendo cha kufungulia nyimbo za Injili sio jambo baya lakini mara nyingi nyimbo hizo...
15 Reactions
96 Replies
2K Views
Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada. Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu...
63 Reactions
6K Replies
737K Views
Wakuu mko poa lakini, Turuke moja kwa moja kwenye mada Ebanaee huyu manzi wa kuitwa Angel nimefahamiana nae miezi 5 kabla, kama zari tulianza kuwa kama marafiki tu wa kawaida. Taratibu tukaanza...
6 Reactions
31 Replies
886 Views
Watanzania tumekuwa na tabia ya kuchukulia mambo juu juu na kuhamaki kabla ya kuyaangalia Kwa undani na kutokana na kutokuaminiana kwenye masuala ya fedha kila kitu tunakihusisha na upigaji...
2 Reactions
13 Replies
120 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,982
Posts
49,503,041
Members
666,913
Latest member
pali akili
Back
Top Bottom