IPO MJINI CHAMAZI KWA MKONGO
KWA MILLION 40,000,000
UKUBWA WA ENEO SQM 400
HAIKO MBALI NA BALABALA KUU
WHATSAPP:+255 7 69 89 77 79/+255 6 28 00 82 18
NIPIGIE:+255 6 84 23 03 99/+255 7 10 01 32...
Habari Wakuu.
Natafuta eneo Masaki kwa ajiri ya biashara ya hotel (Restaurant) inaweza ikawa hata nyumba ya chini nasi tutarekebisha mazingira kuweka muonekano Mzuri kwa ajiri ya biashara hiyo...
dispenser za mafuta
Zipo mbili tegeta namanga
njia sita kila moja
zote mbili bei million 17 mazungumzo yapo kidogo
Kwa mawasiliano
0762036898
Karibuni saana
Habari!
Ninauza vifaa vya saluni ya kiume. Saloon iko maeneo ya Ubungo Riverside, mtaani Kama mita 500 kutoka barabara kubwa.
KAMA UKIHITAJI KUENDELEA KUFANYA KAZI KATIKA FREM HII HII NAKUACHIA...
MASHUKA MASHUKA MASHUKA
Pata mashuka ya cotton nzito kwa bei ya jumla na rejareja.
Mashuka yanakuwa mawili king size futi 7 kwa8 yanafit godoro lolote. na foronya 4.
Kuna 7/8 ina shuka 2 foronya...
Jamani wadau nisaidieni kwa wale wanaojua mambo ya magari vizuri hivi gari aina ya peugeot spare zake zinapatikana kwa hapa nchini bila matatizo au ni matatizo kama za bmw na honda?
Behewa, Kontena, Mataruma ya reli, Reli, Magari na vifaa mchanganyiko chakavu katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga, Mwanza, Kigoma, Katavi...
Kwa wale wateja wangu wa dagaa nyama toka Tanga, ninawakaribisha kuweka oda...bei imepanda kidogo....kwa jumla kg 7000, kwa rejareja 9000...
Hawa ni dagaa kutoka Tanga, dagaa waliochemshwa ndipo...
Habari wakuu nahitaji msaada wa kupata mashine ya kukamua juice ya miwa.
Nipo Dar es salaam kama kuna mtu unaweza kunielekeza zilipo kwa hapa Dar ntakushukuru sana
Au kama unaweza kunisaidia...
Kitanda cha chuma Futi 4 kwa 6 pamoja na godoro lake vinauzwa .
Bei Shiling laki tatu 300,000/=
Mawasiliano: 0623 325 015
Location: Kimara Baruti, Dar es Salaam
Karibuni
TUTAFUTE; 0718 48 00 49 or 0682 31 40 36 CALL, SMS OR WHATSAP
FREE DELIVERY MIKOANI TUNATUMA PIA TUNAUZA KWA JUMLA (WHOLESALE)
-Specifications:
Power Supply: 110V/60Hz
Tank Capacity: 6L...
Kampuni ya simu TECNO yazindua rasmi TECNO Spark 5pro. Uzinduzi wa simu hiyo umefanyika Kidimbwi Beach tarehe 18/10/2020 na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali akiwemo komediani maarufu Jaymond na...