Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Shops for rent. Location:City center, kitumbini area. Size: 27sqm - 35sqm. Rental price: $1500 - $3000. Contact us to schedule a viewing. A small viewing fee applies. 0784 829565, 0767 833345...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Ni kijana nataka kufanya biashara za nafaka mashariki mwa DRC naomba ushauri wa kupata mortar na mashine za kusaga na kukoboa. Na makadirio ya garama na mapato ahsanteni.
0 Reactions
3 Replies
412 Views
Vipi wakuu Natafuta cover la redmi note 13 pro Nimetafuta k/koo kwa jitihada zangu nimekosa, napata wapi? Nani mwenye nalo
1 Reactions
6 Replies
127 Views
🛑 USISUBIRI MPAKA BRAKE ZI FAIL! 🛑 Linda maisha yako na ya abiria kwa kupima ubora wa mafuta ya breki kwa haraka na usahihi. ✅ Hupima kiwango cha unyevu kwenye Brake Fluid ndani ya sekunde chache...
2 Reactions
2 Replies
94 Views
🎤 UNIVERSAL & SUPER MICROPHONE RECORDER 🎤 🎙️ SAUTI SAFI. UBORA WA KIWANGO CHA JUU. ✅ Wireless Connection – Muunganiko wa haraka na imara ✅ Plug & Play – Rahisi kutumia ✅ Sauti Safi ya HD – Bila...
0 Reactions
7 Replies
94 Views
Tunatafuta fundi pikipiki mwenye uzoefu wa kufanya service na matengenezo ya pikipiki za aina yoyote. 📍 Location: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam. Utapata mshahara wa kuanzia kwa miezi 3, kisha...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Habarini wakuu, Tunauza asali mbichi kutoka Tabora na Dodoma. Ni pure na filtered. Bei zetu ni rafiki: Nusu lita: 7,000/= Lita 1: 13,000/= Lita 5: 60,000/= Pia unaweza pata lita 20 na kuendelea...
1 Reactions
4 Replies
143 Views
Nauza iPhone 12 plain simu haina shida yoyote ile iko pilu namba 0768073471 simu ipo dodoma.
1 Reactions
8 Replies
276 Views
If your company failed to submit its Income Tax Return by 30 June 2026, you should be aware that is liable to a late filing penalty of TZS 300,000 for each month the return remains outstanding...
2 Reactions
1 Replies
118 Views
Habari wanajanvi Naomba niwapeleke Moja Kwa Moja kwenye lengo husika kama kichwa kinavyosema. Kuna hii fursa ambayo sisi tumeona tuiite fursa mpya kutokana na uhitaji mkubwa ulionao na...
10 Reactions
127 Replies
17K Views
Nauza iphone 8 used, iko kwenye hali nzuri haina tatizo lolote - 64gb memory Bei 350,000 tzs Location-mbagala mission 0656970469
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Je, unatafuta warehouse katika maeneo ya viwandani Dar es Salaam? Ukubwa kuanzia 200 SQM na kuendelea Zinapatikana katika maeneo mbalimbali ya viwanda Zinafaa kwa biashara, uhifadhi wa bidhaa na...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Hakikisha unawasilisha hesabu za kampuni yako kwenda TRA kabla ya 30 Juni 2026, tofauti na hapo kampuni yako itakuwa hatarini kulipa faini ya Tshs 300,000 kwa kila mwezi ambao hujawasilisha hesabu...
2 Reactions
8 Replies
135 Views
Kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na shinikizo la damu na kisukari tunauza mashine ambazo utaweza kuzitumia kupima mara kwa mara na kujua maendeleo yako. Mashine ya sukari ina strips 25 za kuanzia...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
NEW ARRIVAL‼️NEW ARRIVAL‼️ Bei/Price🏷️👉🏾TSH 270M Call📞+255 747 999 927 LAND CRUISER PRADO J250 Year: 2024 Engine: 1GD-FTV Mileage: 30,218KM Fuel Used⛽: DIESEL Transmission: AUTOMATIC ✨LED...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Wakuu Tunauza Nguruwe hai, wenye afya nzuri kabisa na umri wa miezi 8. Ni Nguruwe waliolishwa vizuri kwa ajili ya matumizi ya chakula au ufugaji zaidi. Kwa mawasiliano na kufika shambani...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Nguruwe wa miez 2 ni 70k (Chotara) Nguruwe wa miez 3 wanauzwa 400k Wapo nguruwe wa nyama pia Mawasiliano 0796007039 Follow the NGURUWE DODOMA channel on WhatsApp: NGURUWE DODOMA
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Kijiji cha Lunguza Kata ya Lunguza Wiraya ya Lushoto Mashamba yapo 0772582186, bei Kati ya laki na nusu, laki mbili mpaka laki tatu kutegemeana na shamba , yapo ya kumwagia kwa pump na yapo ya...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MPIGI MAGOE (KWA MZUNGU) Unatafuta kiwanja kwenye eneo zuri la makazi au uwekezaji? Hiki ni fursa yako! Ukubwa: Mita 20 × 20 Kiwanja kimepimwa Hati inatolewa moja kwa...
1 Reactions
3 Replies
156 Views
INAUZWA HARAKA! NYUMBA INAYOENDELEA NTENGELE - MILIONI 20 TU 🏡* UNATAFUTA KUANZA KUJENGA AU KUMALIZIA NYUMBA YA NDOTO? HII NDIO FURSA YAKO! Nimekuletea Boma kubwa lenye muundo tayari umeanza...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…