Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Yesss! Kama ada yangu wazee sina nongwa ila cha ajabu Lamomy ana nongwa na mm! Sio kes... Kuna sahan nzito kali tu za mifupa kwa wafanyabiashara. Duka la mchina liko kariakok aggrey na...
12 Reactions
60 Replies
3K Views
Habari za asb wadau. Nyama nzuri iliyopimwa na mtaalam ~Steak kilo & Mixed Beef ~Nyama yenye mifupa - Kilo 80 inapatikana. Una shughyli, shule, Hoteli tupigie 0787904860 tupo Morogoro mjini Steak...
0 Reactions
6 Replies
746 Views
• Direction: Basihaya, the road to Ununio, 400 meters off Bagamoyo Road • Facilities: wall fence, servant quarter • Plot Area: 2,200 sqm • Document: Title deed • Forced Value: TSH 300 million •...
0 Reactions
0 Replies
294 Views
Karibuni kununua iPhone 16 Promax highcopy. Wahi, tuwahi. BCC:Nenga
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Duka la dawa Muhimu DLDM LINAUZWA mwenye nalo, anaondoka Tabora bei ya kutupa million 3 tu pamoja na dawa Bei haipungui Duka Lina kabati 2 nyuma Kila moja futi 8 kimo 4 upana Kabati 1 mbele futi...
0 Reactions
0 Replies
627 Views
Hello. Tunauza Peramiho beef Sausages. Nusu kilo packet 18,000 Kilo moja packet 35,000 Kilo moja na robo 40,000 Delivery ipo bei poa Call/whatsapp 0654465446
0 Reactions
5 Replies
640 Views
Habari wakuu, nina kiwanja changu maeneo ya tegeta kituo cha polisi, kina ukubwa wa 19 kwa 21. Hakijakaa square, kipo flat na hakijai maji. Kipo karibu na shule ya msingi na kituo cha polisi...
2 Reactions
6 Replies
588 Views
Habari zenu Wakuu, Nauza Tv ya TCL inch 32 SmartTv kwa 320,000 tu! Tv ni nzima na haijawahi kwenda kwa fundi. Napatikana Dar es Salaam. Mawasiliano 0626753305
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Natafuta mtaalamu wa mifugo (Dar) atakayenisaidia kunipatia design nzuri ya banda la ng'ombe 10 wanaokamuliwa/ wanaonyonyesha: cow pen (10 separate sections for 10 adult cows) + calf pen, crush...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari? Nadizain LOGO na POSTERS za Biashara, Kongamano n.k POSTERS za Kupost Mtandaoni kama INSTA, WATSAPP, FB N.K Hizi Ni baadhi ya kazi nilizofanya ukipendezwa tuwasiliane nami ili Tufanye...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
Wana JF, Kuna wadau wanaagiza used computers toka Netherland nilikutana nao kwenye pita pita zangu leo nikaona kuna ndugu zetu wale wa Internet Cafe, Mashule, nyumbani n.k ambao wanahitaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
PACK 1 Business Watches Bei Ya China Bila Usafiri 14000 kwa saa moja Makadirio Usafiri kwa meli 500-1000 kila moja (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo) Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45 Kima...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za asubuhi viongozi naomba muuzaji wa vifaa vya simu Kwa bei ya Jumla ,vitu kama Mic, LCD za simu ndogo hizo Techno na nyingine karibuni
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Samsung A05s ♦️Ram 6Gb ♦️Storage 128Gb ♦️Clean 💰Bei 250,000/= 📍Ubungo flyover ☎️0769503968
1 Reactions
7 Replies
1K Views
FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya...
11 Reactions
88 Replies
5K Views
Katika harakati za kujitafuta nilifanikiwa kukutana na huyu jamaa na sasa tunaishi kama ndugu. Ndio kwanyakati tunakutana wote tulikuwa tunapitia hali flani ambazo nisehemu ya mapito kwenye maisha...
2 Reactions
1 Replies
323 Views
🚚 Tunasafirisha mizigo ya aina yote kutoka DSM kwenda mikoa yote Tanzania Kila Siku. 🛵. Tupigie simu popote ulipo ili tuufuate mzigo wako na kuusafirisha...!! 🤝 @zone2zone.transporters ni...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Inahitajika( bell) kengele kubwa hasa hasa kama zile zinazotumiwa na makanisa hasa makongwe. Anayejua upatikanaje wake hapa tanzania anijuze maana ina matumizi mengi. Hata ikiwa ni nje ya nchi...
5 Reactions
82 Replies
9K Views
Hello bosses... Napenda kuwakaribisha kwenye App ya Afya Mingle Afya Mingle - Apps on Google Play ambamo utaweza kuchat moja kwa moja na madaktari wabobevu. Madaktari wetu ni Professional...
1 Reactions
1 Replies
306 Views
Mashine za kupimia sukari sukari - GLUCOMETER Package ina -1 Glucometer (mashine ya kupima sukari) -25 testing strips Bei : 35,000/= Testing Strips (50) Bei: 20,000/= Tupo TANZANITE PHARMACY...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…