Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mitandio ya Chiffon inapatikana. Ukubwa: Medium Bei: sh 6,000/= Tunapatikana Tabata Kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja...
0 Reactions
0 Replies
156 Views
Wakuu habari za majukumu ya kifamilia,kijamii na kitaifa! Natumai hamjambo. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,kuna nyumba huku tanga mjini mtaa wa magomeni A inauzwa,iko na 3 bedrooms,1...
0 Reactions
6 Replies
432 Views
Habari Katika harakati za kujitafuta nimeamua niingie kwenye ujasiriamali ambapo natengeneza uji mzuri wa uji wa lishe ambao una faida kiafya kulingana na viambata vyake ambavyo nimetumia UNGA huu...
0 Reactions
2 Replies
325 Views
Natafuta kazi mimi kijana elimu yangu form six msaada jamani maisha yamenibana sana kazi yoyote
1 Reactions
0 Replies
196 Views
Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta. Mahali: Kimara Temboni. Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale. Ukubwa wa Eneo: SQM 308. Bei...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Karibu wa huduma ya ufundi wa vifaa vyote vya electronics na umeme, kwa ufundi wenye uhakika bila ubabaishaji na uaminifu wa hali ya juu. Vifaa hivyo ni kama;- Tv aina zote, Projectors...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
TOYOTA RAV4 OLD 1999 Engine CC 1990 123,000km Petrol Automatic Sports rims Full documents Price Tsh 10.5m ☎+255626682228
0 Reactions
2 Replies
359 Views
Wakuu tunatafuta kiwanja kibaha karibu na morogoro road isiwe ndani ndani na naomba mnitajie na. Bei yake kabisa hapa na ukubwa MODS: naomba msiupeleke huu Uzi sehemu yeyote nataka nipate...
1 Reactions
11 Replies
590 Views
Vitu ambavyo nanunua ni kama Vitanda Makabati Magodoro Masofa AC Frizer Friji. Na vinginevyo Nipo:Ubungo Mawasiliano: 0718646066
0 Reactions
1 Replies
238 Views
Unahitaji huduma ya kuhamishwa kisasa, kufungiwa vitu kwa ustadi kama vyombo, nguo, na hata vifaa vya umeme kama dish au antenna la dstv au lolote ulionalo...karibu sana...tunapatikana kinyerezi...
12 Reactions
299 Replies
17K Views
Habari.. unahitaji kununua gari used au mpya chassis no na hujui utapata wapi kwa Bei nzur? Je unahitaji container za 20ft na 40ft zenye VAT na bila VAT? karibu nikuhudumie +255764423726
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Tunauza Used Kontena (used Shipping containers) hapa dar es salaam unaweza kutupigia 0674252659
0 Reactions
1 Replies
321 Views
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani...
0 Reactions
0 Replies
187 Views
House For Sale. Location: Temeke Chang'ombe. -100 meters from National Stadium. - Corner House. Features: -3 Bedrooms(1 Master Bedroom). -1 Kitchen. -1 Public Toilet. -3 Medium Size...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Mashine za uwakala wa Benk zinauzwa Benki zilizopo NBC EQUITY CRDB NMB SELCOM EXIM LAINI ZA UWAKALA TIGO VODA AIRTEL HALOTEL Bei ya VYOTE 6M haipungui. MAWASILIANO : 0653851536 Location ...
0 Reactions
2 Replies
550 Views
Wakuu nauza laptop aina ya Hp Pro Book, Yenye Ram 8GB, Hdd 500gb. Battery 4hrs. Haina kipengele chochote sema tu nauza kwasababu nina shida ya haraka. Napatikana -Banana-Dar Es Salaam Mawasiliano...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja! Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta Kiwanja cha JV kilichopo Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam. Mahitaji ya mteja: -Ukubwa wa kiwanja uwe 2000sqm-4000sqm...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa...
2 Reactions
0 Replies
260 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…