King'amuzi hiki (Canal Plus) kina vifurushi vingi ila leo nitazungumzia vifurushi viwili tu vya michezo, cha 45k na cha 50k.
KIFURUSHI CHA 45k: utashuhudia Ligi nyingi Duniani kama EPL (ENGLAND)...
Habari wakuu nimerudi tena nauza viwanja vinne 4 eneo ni Nzuguni unapojengwa uwanja wa mpya wa mpira.kwa wale niliowai kuwauzia wanapajua vizuri Huduma zote zipo Umeme, maji , barabara lami...
Kiwanja Kinauzwa, kina msingi wa ukuta.
Mahali: Kimara Temboni.
Kipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro, Mita 300 kutoka barabara ya lami ya kuelekea kwa Mfugale.
Ukubwa wa Eneo: SQM 308.
Bei...
Tunazalisha na kuuza mbegu Bora za samaki aina ya Sato na Kambale.
Vifaranga vinazalishwa kitaalamu na vina sifa zifuatazo;
✓ Wanazoea mazingira utakayo wafugia kwa haraka
✓ Wanakua haraka na...
Kama umepoteza cheti cha kidato cha nne na 6 naweza kukusaidia mchakato wa maombi na ukapata ndani ya siku 40 za kazi bila longolongo
Kwa msaada zaidi njoo dm
Wakuu nauza kiwanja changu mwenyewe hakina Dalali.
Bei mil 200
Ukubwa 1405M²
Barabara zinapitika muda wote, kipo kabla ya kanisa la Methodist
Barabara ya lami ya Goba Mbezi Luis ipo 130M toka...
KARIBUNI SANA balo safi za mtumba wauzaji balo za mtumba grade 1 kutoka China uk Canada uingeleza Dubai na korea
Tuna balo za nguo aina zote Viatu mabegi shuka pazia
Mawasiliano 0657710078...
Wakuu mwenye anauza bajaji ani PM inbox, isiwe na kipengele, natoa box mbili tu kwa dalali.....
Mimi napatikana mbezi makabe.
Bei ni mazungumzo
Hit my PM Kwa muuzaji aliye serious tu.
Tunazo Ringlight Inch 12 – TZS 25,000 Tu!
Unatafuta mwanga mzuri kwa ajili ya kupiga picha au kurekodi video zako? Tunakuletea Ringlights za inch 12 kwa bei ya ofa TZS 25,000 tu!
Sifa za...
Jipatie Car Phone holder ✅
Ni Original kabisa 💯
Inashika simu vizuri✅
Inazunguka vizuri pande zote ✅
Kwa bei rafiki kabisa
Tsh 20,000/=
WARRANTY 1 MONTH
☎️ 0712350159
📍 ARUSHA tunakuletea...
Plot Available For Sale.
Location: Kigamboni Gezaulole, near Gezaulole Dispensary.
2nd row from beach, 100m away from Indian ocean.
Size: SQM 911
Price: Tsh 150 Million (Fixed).
Document: Clean...
Karibuni mafuta ya sandal wood kwa bei nafuu. Mazuri, mazito, original kabisa moja kwa moja toka kiwandani. I little $1200.
Mwenye uhitaji tafadhali apige namba 0612373688.
Karibuni sana.
PANASONIC LUMIX GH5 – Kamera ya Kitaalamu kwa Picha na Video za 4K
INAUZWA 3,700,000/=
Ikiwa wewe ni mpiga picha au mtengenezaji wa video unayetafuta ubora wa juu, basi Panasonic Lumix GH5 ni...
Hello. Don't miss out this rare opportunity to secure prime real estate in Dar es Salaam. These plots, houses and apartments are available. Plots for Sale;
•Kigamboni Dege (10plots in one area)...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho...
Job Title: HR Manager
Introduction:
Isamilo International School in Mwanza, Tanzania, is owned by the Anglican Church of Tanzania under the auspices of the Diocese of Victoria Nyanza. Established...