Ndugu zanguni wajuvi, wadadisi na wengineo,
Mie ndugu yenu Kiranga cha Ngeda wa viunga vya bandari iso salama, Kiranga wa upande wa Mbwamaji, Kiranga wa Mkuranga,kakae Muamini na mwana wa Fundi...
Habari. Karibu kusafiri nami.
Natumai kipindi cha mpito cha ugeni wangu nacho kitapita kama ilivyokuwa kwa wengine hapa ndani.
Natumainia mapokezi mema na miongozo bora toka kwenu wakuu.
Kwa...
Wasalaam wanajukwaa!
Nimekuwa msomaji mkubwa katika hili jukwaa, Ila nimeona ni vema nikawa Mwanafamilia mwenzenu Rasmi. Naombeni ushirikiano.
Natanguliza shukurani!!
Najitambulisha kwenu kama Member mpya, kwa ukarimu wenu mmeishanipandisha cheo hadi kuwa Senior Member, ninawashukuru kwa hilo, endeleeni kunipa ushirikiano kwa viwango stahiki.
Nami kama mgeni...
ndugu zangu,
Kwanza nijitambulishe kwa kuthibitisha mimi ndiye mzungu wa asili ya Kimarekani. Jina langu ni Riley (kifupi 'Rai') au pia watu wa kabila Taita huniita Mwadime - uchague lile...