Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Nimefika naomba mapokezi yenu tuweze kuburudika na kufurahi kupitia Jamii f .
0 Reactions
5 Replies
1K Views
washkaji mambo vipi.niko kwa mara ya kwanza hapa kwenye jf kwa mara ya kwanza .Tushirikiane.
0 Reactions
5 Replies
889 Views
hello wapendwa, mi ni mtanzania mwenzenu natokea waja leo uondoki leo natumaini ntakaribishwa humu. JF is a part of learning Institute pia kupunguza stress. Gender- ke thank you.
0 Reactions
4 Replies
836 Views
Ebwana humundani yanifull malaha
0 Reactions
4 Replies
826 Views
All This is to notify you, I am new member to this forum. We shall start chatting very soon on matters related to Economics, banking etc.
0 Reactions
5 Replies
679 Views
Kuku mgeni mie nipokeeni na tushirikiane. Asanteni sana waungwana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ndiye JOSEPH MATIKO MATARE ambaye makomredi wa UDSM enzi hizo mnamtafuta.Pole sana makomredi kwa kunipoteza kwa muda mrefu nilikuwa ninajiimarisha sasa ninarudi kushirikiana na wanaukombozi...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za majukumu wana Jf? Nmekua mtazamaj kwa muda mrefu sana, ss nmeamua kujiunga racm. Ushirikiano wenu n muhimu sana waungwana!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
ni mimi agogwe mtanganyika nisiyekubal mabadiliko
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wajameni habari za masiku mingi..natumaini ma GT wote muwazima...mimi ndio nishakuja hivyo..
0 Reactions
4 Replies
910 Views
nikaribisheni ndugu zangu Nauhakika sijakosea njia kuingia jf kushare na ninyi wenzangu info', na mengi ambayo tunajaaliwa nimeyapitia mashart vizuri naamini ntaweza kwani sina lengo baya...
0 Reactions
6 Replies
838 Views
Ni ka muda sasa nimekua nikipita kwa mbaali humu Jf.. Bt kwa sasa Nimeona niwe humu.. Wenyeji naombeni nafasi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jamani hodi uwanjani. Nilikuwa mchunguliaji sasa nami nipo ndani. Nategemea ushirikiano.
0 Reactions
5 Replies
852 Views
Wanajamvi nimerudi kivingine baada ya kuona ajira yangu serioalini IPO rehani dada nimebadili utam ulisho wangu,sass Masham ulizi yangu yanakwenda kwa mjinga mmoja anayevaa kilastaman kutoka...
0 Reactions
3 Replies
672 Views
Heshima kwenu Wakuu, Leo nina furaha sana kwa kuwa mwanachama rasmi wa Jamii Forums, ninaomba ushirikiano wenu wadau. Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa mdau mkubwa wa mitando mingine ya...
0 Reactions
7 Replies
673 Views
Elimu, elimu..
0 Reactions
4 Replies
681 Views
hellow jf members
0 Reactions
4 Replies
882 Views
habari zen jf mimi mgeni upande huu
0 Reactions
4 Replies
743 Views
Hodi wakuu,nimekuwa nikipita pita sn humu hatimaye sasa nimeamua kuingia jumla. Hope wenyeji wangu mtanipokea vyema.
0 Reactions
5 Replies
686 Views
Hellow members of tha great thinkers! Habarini.
0 Reactions
5 Replies
892 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…