ndugu wana JF,napenda kutumia fursa hii adhiim kujitambulisha kuwa mwana jukwaa!Hii ni kutokana na mada mbalimbali ambazo nimekuwa nikizisoma kupitia mitandao mingine kama FB hivyo nami nikaona...
Naamin wote ni wazima wa afya mi ni mgeni humu jamiiforums naomben mshikamo na ushirikiano wenu ktk kuchangia maada mbalimbal nipo pamoja nanyi thanks xna naomben mnikaribishe wadau nice day!
Member mpya nisiye na doa kwa yeyote Yule , ni muda mrefu nimekuwa nafuatilia mijadala mbalix2 lakini sasa nimeona nami ni muda wa kufatiliwa kwa mijadala Yangu mbalix2 humu Ndani ya...
Natumaini wote mpo salama.Ninawasalimu nyote kwa mpigo kwa kilugha cha kwetu ambacho mkubwa ama mdogo husalimia kwa maneno hayohayo...yaani....haibagui kama salamu ya Kiswahili:Shikamoo!
I am a new member in site so I wish to get a warmly welcome from ma fellows members and Admin as well. Are my wish that I will bring new ideas and I will learn a lot from you.
Hi, mimi ni mgeni kabisa humu, ni ustaarabu kuwasabahi wenyeji wangu na kuomba kukaribishwa.
Nimependa sana mambo ya Jf kwa sababu ni Bab kubwa. Nina furaha mno kujiunga na The great...