Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hodihodi wenye mji
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naikubali sana hii kitu coz huwa siko nyuma ya muda hata siku moja na mengine niyapatayo humu hayapatikan kwingine..big up sana founder wa hii ktu Sent from my iPhone 4 using JamiiForums
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Natumaini ni wazima wa afya na mkotayari kwa mapokez yangu,nitafurahi pindi nitakopoona nakaribishwa na kupokelewa kwa moyo mkunjufu bila kinyongo.Asanteni,,,..@
0 Reactions
3 Replies
844 Views
Habari wana jf. Ni matumain mu wazima. nabisha hodi mnipokee na mazuri tupeane.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndio kwanza naingia jf naomba ushirikiano wenu
0 Reactions
2 Replies
774 Views
plz sir may i cam in, my name iz yezaya 4rom kgm
1 Reactions
5 Replies
1K Views
habari nenyuuuuuuuu mabibi na mabwana
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Habari gani hapo ulipo, natumaini utakuwa ni mziwa wa afya ila kama utakuwa c mzima wa afya nakupa pole sana kwani hakuna aliyekamilia ktk dunia hii na si kama wewe ukiamka mzima basi na yule...
0 Reactions
3 Replies
993 Views
Ndo hivyo mi kuku mgeni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ndo kwanza natinga ndan ya nyumba wakaka na wadada muwazma wote??
0 Reactions
7 Replies
865 Views
Jamani wanajamvi naomba mnipokee mizigo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hodii Wenyeji Nimekuja kuungana na vijana na wazee kubadilishana mawazo, kuelimishana na kuenjoy nanyi Ahsante
0 Reactions
6 Replies
793 Views
Habari zenu wana jukwaa... Jamani nikaribisheni mimi ni member mpya. Pamoja sana watoto wa Mungu.
0 Reactions
7 Replies
985 Views
nawasalimia
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wana jf hodi mpk ndani natumai mu wazima mm mgeni humu naombeni mnipokee.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamaani salamu zote! Baada ya kukurukukuru tu kwa muda mrefu nikaona bora nijiunge rasmi na nimefurahi sasa kuwa mwana-JF halisi.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
New member,from Dar es salaam,Tanzania
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni Mgeni kukaribishwa ni muhimu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu nimekuja kujipatia maujuzi humu mnipokee.
0 Reactions
2 Replies
722 Views
Hodi jamani humu ndani ,naruhusiwa kuingia na fyatu fyangu au nifivue..? *(f~v)
0 Reactions
5 Replies
984 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…