Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Hello! wanaJF nimeshaingia ila nahitaji kukaribishwa.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hatimaye nimekuwa miongoni mwa wanajamii wa hii forum yetu. Nawashukuru wote waliondaa jukwaa hili, kwa wenyeji naombeni ushirikiano wenu na kubwa zaidi mnielekeze yanipasayo kufanya. Kwa uongozi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hodi hodi humu ndani, Jukwaani naingia... Dinazade nimekusikia, mamaafacebook pia... Honey faith We kama nakujua!! Eveline salt We Pia.. Mgirik hivi we kabila gani!? 50cent nakuja kwenu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
shangwe jaman najiskia aman kuingia hum
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Muda mrefu nimejaribu kujoin JF imeshindikana...juzi kazi nimefanikiwa....humu ndani kutamu...nimemiss mambo mengi sanaaa
0 Reactions
5 Replies
970 Views
Hello GT,wakuu nimechoka kuchabo nami naomba kuwa mmoja wenu.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Trip2Dubai ni website inayojulisha watu wanaotegemea kuzuru mji wa Dubai uliyopo Mashirki ya Kati - Uarabuni Karibuni tumeanziasha ukurasa wa Kiswhili, hivyo ni kupata habari motomoto kutuka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kila siku nilikua naona juu juu leo nimeamua niingie ili kujua mengi zaid...wananiitaga producer clinton,
0 Reactions
4 Replies
1K Views
H
Hodiiiii
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hamjambo wadau mm no memba mpya naombeni ushirikiano wenu
0 Reactions
3 Replies
829 Views
Jamani kaka,dada mpaka wote wana akaunti hapa,kwanini mimi? Naomba nikaribishwe kwa moyo mkunjufu! !! kiburi ni kaburi. Ni mimi mtoto wenu,mdogo wenu JF mtoto aka zumbe kimweru.
0 Reactions
4 Replies
888 Views
Habari zenu wapendwa wana JF
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nipokeeni jamani!!
0 Reactions
3 Replies
981 Views
Nyumba ya kupangisha hipo tuwasiliane via # 0712 477976, vyumba 2,choo,bavu,jiko na sebule, haina ukuta.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hodihodi jf
0 Reactions
4 Replies
924 Views
am new here
0 Reactions
4 Replies
865 Views
Mupo tayari kwa kusoma story zangu za kufurahisha na kusisimua, ndugu zangu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naamini ndo Kama siku ya kwanza shule baada miezi 4 hakukuwa na hata dent m1 aliye niita jina langu nilikiwa na nick names za kutosha .. That's how my ideas created me.. Let share what we have
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Am a new member,napenda kufahamu mengi kuhusu uchumi,fursa za uwekezaji,biashara na ishu kama hizo
0 Reactions
5 Replies
794 Views
Habar zenu wenyeji? Ningependa kutumia nafas hii kuwashukur wahusika na waanzilishi wa jukwaa hili ambalo limekuwa likitupatia habar mbalimbali hasa zile ambazo tulikuwa hatuzifaham asanten sana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…