Kwenu Ndugu Jamaa na Marafiki
Rejeeni kichwa cha habari hapo juu..Nimekuwa nikisoma habari tofauti toka JF sasa nimeamua kujiunga nanyi......
Natanguliza shukran kwenu wote Waungwana na nyinyi...
Hi
Naitwa ween nimtumiaji mpya wa jamii forum naomba kuelekezwa jinsi ya kuingia jukwaa la din kwan nashndwa kuingia ktk majukwaa yote ya only member pia. Asanten kwa kunisoma nategemea msaada...