Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa wakati huu niko mpweke nimejiegesha kichwa hakisomi kabisa nimejikuta namiss kuona sms ya baby nimeshindwa kulala nakuwaza ama nyinginezo kama hizo.....daah upweke unaumaa(in voice of mama...
17 Reactions
68 Replies
2K Views
Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona...
13 Reactions
31 Replies
1K Views
Asubuhi ya Leo nimerudi kazini nikiwa najiskia vibaya kweli.. Mume wangu ikabidi anisaidie kuniandalia chai wakati huo Mimi Niko chumbani Wakati huo simu yake ilikuwa kwa dressing table muda...
19 Reactions
46 Replies
3K Views
Wanajamvi aisee nilimkataa mtoto miaka kama minne imepita. Sasa ubaya leo kaja na mama yake sehemu ambayo karibu na kwangu, mtoto anafanana na mimi mpaka nimeona aibu nikaangalia pembeni. Sasa...
34 Reactions
233 Replies
7K Views
UKIONA WANAKUKUMBUKA TU WAKIWA NA SHIDA JUA UMUHIMU WAKO NI MDOGO KWENYE MAISHA YAO MENGINE 😔 Ukitafutwa kwenye shida tu tafasiri ni kuwa muda mwingi wakiwa na raha hutumia na wengine ila kwenye...
12 Reactions
25 Replies
1K Views
Kuna mhuni kasoma na mrembo wangu, sasa naona anatupia ndoano, baada ya kukuta zile text kwakweli nimepata pressure hapa nahema juu juu. Nawaza siku nikikuta imechapiwa nitakua na hali gani. mke...
33 Reactions
121 Replies
5K Views
Lakini nimestaajabu sana aisee eti watu wanafunga ndoa Kesho na hapo wamekaa bila kufunga ndoa na wamezaa watoto zaidi ya 4 sasa hlyo imenistaajabisha sana aisee kwahiyo kipindi hicho walikuwa...
3 Reactions
9 Replies
784 Views
Usijaribu kudate na Mwanamke asiye na hisia na wewe. Fanya udadisi... ndipo mtongoze kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe. Examples of Questions; Unamwanaume, Yes or no If yes, vip...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii imekaa kaaje wakuu? Nina rafiki yangu ambaye kila muda ninapokuwa naye anaongelea ngono tu. Ukikuta anaongea na simu, basi ni simu za mitongozo. Mifukoni kwake anatembea na condom, yaani...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Weekend nilikutana na binti mmoja mrembo sana akasema anasoma IFM. Tukabadilishana namba, nikamwambia Jumapili jioni ajiandae nitamtoa out Nikachukua bolt hadi Shaaban Robert Street chuoni kwa...
163 Reactions
423 Replies
31K Views
Tuliombre mno taifaletu pendwa, At this age above37,nimeona mengi na nimekwepa mishale mingu mno,haikua kazi rahisu Leo naomba nishee nanyi sababu za kwanini sina chuki moyoni mwanguna...
7 Reactions
8 Replies
514 Views
Habari za mchana huu. Naomba nizungumzie jambo moja lisilo zuri leo. Kumekuwa na tabia ya kusimanga wanawake ambao hawajaolewa na kuwafanya wajione hawafai. Watanzania wenzangu hii tabia sio...
17 Reactions
99 Replies
10K Views
Wanawake bana, yani nilimkosea kakosa kadogo ila sikudhani lingekuwa kuuuuubwa kivile alafu hapo hapo anaibua na mambo mengine ya nyuma huko, kumbe sijui huwa wanayahifadhi matukio. Mtu...
57 Reactions
192 Replies
6K Views
Ndoa yako ni yako ama ya jeiefu... Mbona maonesho mengi sana...
47 Reactions
425 Replies
12K Views
Hivi hawa dada zetu mtaani ni nani kawaambia kuwa mwanaume akiwatongoza muda huohuo waanze kuomba pesa? Hivi mtu nimeonesha nia tu ya kukutaka hata papuchi nimeona sio kipaumbele kwanza...sababu...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
Wakuu nimepatikana hata kama Ni kupenda hiyi Ni too much Iko hivi Nina mpenzi nimezaa nae Mara ninaposafiri kuwa mbali na yeye zikipita siku tatu hujikuta namuwazia sana Na nikiendelea...
9 Reactions
58 Replies
2K Views
Wanajamvi jana nilileta uzi humu kuna mtoto nilimkataa miaka minne iliyopita na wamerudi mtaa niliopo yeye na mama yake, sasa muda huu kaja dukani tena aisee nashangaa anafika anasema baba...
14 Reactions
73 Replies
3K Views
Habari, Napenda kuuliza hivi kwa wadada na wanawake wote kwani huyu mwanamke wangu huwa anapenda kunituma mm ndio nimfatie hiki kifaa maana anadai akifika dukani huwa anaishiwa pozi kusema mangi...
5 Reactions
46 Replies
2K Views
Tangu week hii imeanza nalewa ila nikiamkaa asubuhi nakuwa kama mwili wote unauma, walevi wenzangu nisaidieni!
11 Reactions
172 Replies
7K Views
Moja kwa moja kwenye mada. Sijui wamekuaje hawa wadada wa siku hizi, neno hapana halimo kabisa kwenye kamusi zao! Mtu unakutana nae tu ukimsemesha vizuri anakupa utamu. Zamani unafukuzia demu...
23 Reactions
144 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…