Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna Muda unaweza komaa mwenyewe ukajifanya mwamba kwamba we ni kidume Kama maziwa utapata tu hakuna haja ya Kufuga ila nimegundua ni kujidanganya!! Ukiugua gafla lazima uwe na mwenza wa kujua...
20 Reactions
44 Replies
5K Views
Kuna baadhi ya madhehebu ya dini yameweka msimamo kwamba muumini haruhusiwi kuoa/olewa na mtu wa dhehebu lingine. Binafsi nimeona watu wakipata matatizo yafuatayo kutokana na msimamo huo; 1...
2 Reactions
1 Replies
621 Views
Habari wakuu Jana nilileta uzi wangu hapa ulikua unahusu hisia zangu kwa mpenzi wangu kuwa kanisaliti usiku wa kuamkia jana. Na zile dot nilizoleta (Screenshot) wote mliziunga mkono kwamba ni...
7 Reactions
93 Replies
9K Views
Habar mabibi na mababu.... Leo siku yangu imeenda vibaya sana, na vile sijawahi experience hili tukio bhasi daah naona dunia imenikalia vbaya leo. Kufupisha stori ni kuwa kuna manzi angu mmoja...
17 Reactions
79 Replies
9K Views
Aliyesema mapenzi yamezaliwa Tanga akamatwe mara moja kwa uongo. Mapenzi yamezaliwa Manyara (Babati) huku yaani kila mwanamke unayekutana naye unamtamani, Mama ntilie wanaouza supu wazurii yaani...
41 Reactions
162 Replies
20K Views
Kabla ya yote, Maisha ni Mahusiano Dar es Salaam kama yalivyo majiji mengi kuna idadi kubwa ya watu. Na sehemu kubwa ya hao watu ni vijana. Kila mwaka kuna idadi kubwa ya vijana wa kike na...
12 Reactions
28 Replies
1K Views
Hii kitu imenishangaza sana kwa Hawa Viumbe. Mshikaji ana muhudumia Demu kwa Kila Kitu, jioni anamfuata Kazini, na asubuhi anampeka Kazini (Privet Car). Sasa Cha kushangaza Demu ananiambia "mi...
24 Reactions
99 Replies
5K Views
Inashangaza sana ndugu zanguni. Unakutana na fremu ina tisheti 2 na jinzi moja lenye mitatuko, pembeni kuna kepu imening'inizwa. Fremu lenyewe la kioo halafu full kiyoyozi. Mhuni aliyepanga fremu...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli nilimuacha mke wangu na watoto wawili na sikuwa...
24 Reactions
94 Replies
5K Views
Happy new years guys 2025!... Mwak jana mwishon niliachan na mrembo wangu ambae kwaukweli tulizoean sana na kupendana. Kumuacha ilibd kutoka na sababu zangu ambazo zili base kiakili (logic...
9 Reactions
49 Replies
2K Views
Mwanandani wangu wa kike amekuwa na tabia kuvutia mambo kwao mathalani kuwafundisha watoto tamaduni za kwao ikiwemo lugha na kusifia mambo mengi ya kwao. (kabila lake). Sasa Jana ghafla akaanza...
8 Reactions
49 Replies
3K Views
Kwenye kuzurura kwangu duniani kutoka Africa, Ulaya, Asia na Marekani; nimeona watu wengi wakiwemo wanawake weusi, wazungu, waasia wanasema black men most are cheaters na malaya kuliko hata...
2 Reactions
5 Replies
786 Views
Nawakumbusha tu mabinti zangu,huu ni mwaka 2025 mwaka wa uchaguzi,SSH anaingia tena ikulu kwa miaka mitano mpaka 2030. Huo mwaka 2030 ukifika na hujaolewa nikupe tu pole utakuwa sio binti tena...
12 Reactions
92 Replies
3K Views
Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi? Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
MBINU YA KUMPATA Tafiti zinaonesha kwamba, muuzaji(Mfanya Biashara) yeyote akipata mteja atakayeonesha kuhitaji/kuvutiwa na bidhaa zake, alafu ghafla mteja huyo akahamia kwa muuzaji mwingine...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Kuna mwanamke mmoja tunafanya naye kazi, kwa bahati nzuri nimetokea kumpenda mwanadada huyo. Ila kuna kitu nimekiona cha tofauti kwa mwanadada huyu, yaani tabia yake na hali zipo tofauti na...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Ndugu zangu mimi kuna jambo huwa silielewi kabisa kuhusu wanawake/ mwanamke: "ukiwakataa huwa wanakuwa na chuki kali sana dhidi yako haijalishi mpo katika mazingira (hata kazini/biashara) gani."...
10 Reactions
57 Replies
8K Views
Natumaini wana JF mpo salama kwa uwezo wa Mwenenyezi Mungu Kama heading inavosomeka, Mimi ktk suala la mapenzi huwa na ujinga wa vitu viwili kwa mwanamke wakati wa faragha. 1;Napenda natural...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Natumaini mko poa, Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali. Maisha...
274 Reactions
362 Replies
23K Views
Wakuu habari zenu, natumai mu wazima wa afya. Changamoto yangu iko hivi niko 20s lakini sijawahi kupata mwanamke seriously wote wanautoto mwingi sana...
12 Reactions
88 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…