Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kuna mchele unauzwa na kampuni ya Korie wanaita mchele wa mbeya upo kwenye package ya 5kg, huu mchele ni utapeli mtupu wamepack mchele wa kitumbo halafu wanaubrand kama mchele wa mbeya ili wauze...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimetoka kulipa kodi ya kila miei 3 ghafla napewa kodi za ziada stamp duty na witholding tax.
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Habari wana JF, Mimi ni mkazi wa Kisarawe Pwani. Natafuta soko la mapasheni ninayo mengi, kama yupo mtu tayari naomba tuwasiliane kwa namba 0620593183.
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Mugomo ulioanza Jana Dar es salaam sasa umefika jijini kwanza Leo maduka yote makubwa ya mefungwa. Jijini kwanza. Kusema kweli huu si utamaduni wetu.watanzania wafanya biashara wanadai haki...
1 Reactions
1 Replies
308 Views
Wasalaam Nimepanga kufika Arusha mjini kufuata manunuzi kadhaa lakini nimejulishwa na machinga mmoja ivi kua maduka yamefungwa kwasababu ya mgomo wa wafanyabiashara. Mlioko Arusha mjini tujuzeni...
2 Reactions
10 Replies
900 Views
Kwa wale wenyeji wa Zanzibar ambao wanamiliki mahoteli nilikua natafuta soko la ngisi Kwa sasa wapo ngisi kama kilo elfu nane Ngisi wanapatikana UNGUJA UKUU Kwa alie tayari naomba tuwasiliane PM
5 Reactions
10 Replies
846 Views
Habari za wakati huu wana jf , niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ni kushare kilichonikuta leo. kuna mtu mmoja alinicheki anaitaji kilo 30 za mchele alikuwa mbali na sehemu ninapouzia...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Habar wadau, Poleni na majukumu km kichwa Cha habar kisemavyo hapo juu, nahitaji mtu wa kunidhamini bank statement kwaajili ya matumiz ya safari ya nje. Ambapo tutakubaliana atanitoza kiasi...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Wakazi wa Mwanza tumefikishika huduma ya ufundi wa vifaa vya umeme kama TV, Redio n.k. 0780527652 Tunafika ulipo
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Habari wakuu, naomba kujua bank gani, au taasisi gani inayokopesha kwa vigezo ambavyo sio vigumu sana, ikiwemo riba kubwa, usumbufu n.k NB: nina biashara tayari ya 18M
0 Reactions
3 Replies
481 Views
Nina mpango wa kufungua store ya mchele DSM, sipo kwa muda wa miaka 3. Bahati nimefanikiwa kupata mashamba /mkoani Katavi, hivyo source kubwa ningetarajia kwanza iwe kutoka shambani, japo kwa...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Tunahusika na uchomeleaji na uhunzi wa vyuma, tunatengeneza machine za kilimo, ujenzi, upakiaji, machine sector za madini, viwanda, tela za trekta n.k, tunabuni na kutengeneza mitambo kulingana na...
0 Reactions
8 Replies
580 Views
Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na...
2 Reactions
3 Replies
658 Views
Wanahitajika business partners wawili hadi watatu. Biashara ya kuuza Maziwa Fresh na Mtindi. Biashara itakuwa jumla na reja reja. Vyema ukiwa unaishi Dar es salaam. Mimi nitasimama upande wa...
7 Reactions
21 Replies
5K Views
Habarii za Muda, Nauza MAPARACHICHI kutoka moshi kwa gunia, noamba kama kuna mhitaji au dalali wa soko lolote Dar au popote tuwasiliane nikuuzie kwa bei nzuri kabisa, gunia ni 65,000 - 80,000...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
SERIKALI KUTUNGA KANUNI KUONDOA MIGONGANO YA WENYE MADUARA NA WAMILIKI WA LESENI - Eneo la Uwekezaji wa msaada wa kiufundi(Technical Support) kutengenezewa Kanuni - Leseni za vikundi...
0 Reactions
0 Replies
306 Views
Wakuu habari yenu. Naamini wapo wajuzi na maafisa tofauti wenye uelewa wa haya mambo naomba kutambua mikopo kwa wakulima itolewayo pamoja na vigezo na masharti yake. Hapa nitaomba kujua...
4 Reactions
5 Replies
696 Views
Kwa mara nyingine tena meli kubwa ya Kontena ijulikanayo kama RHL CALLIDITAS yenye urefu wa mita 260 imeingia katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa ni mfululizo wa Bandari hiyo kuingiza meli kubwa...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
MELI KUBWA YENYE UREFU WA MITA 249 YATIA NANGA KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM, IKIWA IMEBEBA MAKONTENA 4,500.... Meli ya Maersk Line. BIASHARA katika bandari ya Dar es Salaam imeanza kushika...
0 Reactions
24 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…