Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wakuu, Mimi nina restaurant ipo kwenye eneo ambalo ni very potential. ninahitahi mkopo wa million tano. naweka dhamana ya biashara yangu na vitu vyote. Naomba mnifahamishe ni wapi...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii forum, Najitokeza katika jukwa hili ili kuweza kupata msaada wa biashara,kiufupi kuna jamaa yangu mmoja amemaliza chuo na kapata kazi katika taasisi moja kubwa na anachukua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
POSTED WEDNESDAY, NOVEMBER 20, 2013 | BY- YVONE KAWIRA Nairobi to host US's Power Africa project Nairobi will host the regional headquarters of an initiative led by US President Barack Obama...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Mimi ni mteja wa Benki ya makabwela NMB kwa karibu miaka 15 sasa. Ila siku za hivi karibuni wamekuwa wakinikera sana. Ni miezi mitatu sasa nafuatilia kadi yangu iliyo expire. Wiki ilopita...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tanzania falters in gold trade Exports drop as Tanzania falters in gold trade IN SUMMARY The latest Central Bank review of the economy shows that the trade deficit widened further last year...
0 Reactions
1 Replies
891 Views
Habari zenu wana JF. Naomba wanaofaham kuhusu Telexfree ni nini? Je ni aina nyingine ya decy?. Tafadhal naomba wanaojua kuhusu hili wanijulishe na mimi.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kenya Government Commits to triple Nailab funding to almost Kshs 500 Million Posted on Feb 28 2014 - 7:06pm by Oscar Adika « PREVIOUS |...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau wa jukwaa hili,siku nyingi nimekuwa nikitamani sana kununua bidhaa au vifaa vyaa kazi zangu za umeme na dish satellites online kwa unafuu wa bei ila naogopa nahisi usalama hamna wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KAMPUNI YA KIMI DEV. CONSULT LTD, YENYE OFISI ZAKE SOKO LA MAGOLOFANI, BLOCK F.6 MBEYA MJINI : TUNAWEZA KUKUTAFUTIA NA KUKUAGIZIA BIDHAA MBALIMBALI KUTOKA VYANZO HALALI NA VYA UHAKIKA NDANI NA NJE...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mim ni streetvendor tu wa huku mtaani kwet nimemalza chuo mwaka jana kuna bisness nafkria kuifanya kutoka bongo to south africa biashara yenyew ni kuchukua hv visandales vya kimasai,necless...
0 Reactions
18 Replies
9K Views
I think everyone knows it's important to save, but how many of us have actual strategies that they use to make sure they save? For instance, I know of a group of friends who meet up and organize...
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Your are here » Home » Business News Kenya launches Islamic banking training Read more at: http://www.standardmedia.co.ke/business/article/2000105605/kenya-launches-islamic-banking-training...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makontena ya futi ishirini yanauzwa yapo kinondoni, yalikuwa yakitumika kwa biashara ya kuuzia simu, yana air condition. Bei ni Milion tatu na nusu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi mimi nilianza kufuga kuku wa kienyeji kwa ajili ya nyumbani tu sio kwa ajili ya biashara. Lakini sasa ivi nimepata mwamko wa kubadilisha, yani nataka kufuga kwa ajili ya biashara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naitaji kuanzisha biashara na ninamtaji wa sh 600,000. Lakini sijui nifanye biashara gani naombeni ushauri nifanye biashara gani Wadau wa JF
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Whatsapp/call me 0714064767 for more information
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Wakuu mimi naamini hapa huwezi kosa unachokitafuta. Mimi ninashida ya kupata namba hizi 15754, 15231 n.k yaani kama zile za Clouds wanazotumia kutuma sms. Shida yangu nataka nitumie kwenye...
0 Reactions
1 Replies
789 Views
kwa anayejua utaratibu wa namna ya kununua hisa kwenyesoko la DSE
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Poleni na majukum wapendwa. Mwenye uelewa na biashara ya M-pesa,tigo pesa na eatel money anifahamishe. jinsi ya kupata line,gharama za uendeshaji na faida. NAWASILISHA.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, well nlikua naomba kuuliza ni wapi jijini dar es salaam ntapata watu wanaouza sabuni za jumla za aina mbali mbali both local or imports kwa matumizi ya usafi. Nlikua nataka...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…