Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wana JAMIIFORUM,naombeni ushauri wenu wa tija juu ya hili. Nataraji kuwa MWANAHABARI WA MAZINGIRA na kuanzisha gazeti(MAGAZINE) ambalo litalenga zaidi katika suala zima la kuhifadhi Mazingira...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa,, mimi nilikuwa nafanya biashara ya Grocery hapa Dar es salaam maeneo ya Kinondoni ila kwa sasa nahamia mkoa mkoa, nauza vifaa vyangu vyote kama vilivyo kwa ujumla ikiwemo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Zenu wana jf Kama nlivoweka title hapo juu nmesika ya kuwa znz electronics kama laptop,simu,smart tv na hata game consoles zinauzwa bei nafuu kutokana na influx ya bidhaa hizo kutoka nchi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa, je ninaweza kupata mashine moja ambayo inaweza ikatoa photocopy, ikaprint na kuscan na inaweza ikatoa black & white pamoja na coloured? na kama inapatikana, aina gani ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
hope mpo poa naomba msaada kwa mtu anae elewa jinsi ya kupata mashine ya max malipo au pay point,pia na bei zake nawakilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
KIMI DEV.CONSULT LTD NI KAMPUNI MPYA SOKONI, IKIJIHUSISHA NA CONSULTANCY SERVICES KTK MIRADI/BIASHARA mf. development project writeups, training, research and feasibility studies! PIA KAMPUNI IPO...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
2Million, mawasiliano 0714946071
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu kwa ujumla, natumai mu wazima wa afya na kwalio na matatizo ya kiafya poleni ila Mungu muweza yote natumai atawaponya ili tujumuike wote katka ujenzi wa taifa kwa ujumla...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nilikuwa napitia document za tenda zilizo tangazwa na GPsa kwa mwaka ujao wa fedha 2014-2017. Kipengele cha kwenye gharama ambazo supplier inabidi ajaze anapoomba tenda hiyo ndiyo pamenipa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni nzuri inafaa kwa ku install Windows au External. imetolewa katika machine ambayo imevunjika Screen.kwahiyo ipo vizuri.bei haipungui.kama upo Dsm nichek nikuletee ulipo. 0716-844978
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Unahisi ni biashara gani ya mtaji wa Tshs Millioni 1 kijana anaweza kuifanya na ikamuingizia kipato kizuri kwa muda mfupi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada nataka kufungua company ya clearing and forwarding, kwa mwenye uzoefu naomba, whole process plse na pia naomba kujua vizingiti ambavyo vitafanya nisiweze kufanikiwa au...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Tunahitaji malori(tiper) kwajili yakubebea clinker material yakujengea cement toka bandarin hd kisarawe km34.tan1 95000.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau mimi kwa majina ni Matendo Andrew ni Gospel singer, lakini hapa nimekuja kama Manager wa Matendo Andrew. Nahitaji mtu au kampuni nifanye nayo kazi, kazi ni hii hapa. Nimesha record album...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Germans Plan U.S. $1 Billion Fertilizer Plant in Dar BY DEOGRATIAS MUSHI, 22 FEBRUARY 2014 NATURAL gas in Tanzania has attracted a company from Germany which intends to invest over one billion...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
tunahitaji magari ya kubeba kokoto kutoka Lugoba-Dar ubungo terminal, tunalipa kwa tani 19,500, kampuni....JV LOGISTICS COMPANY, Mawasiliano 0715643896, 0783 643896
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tunahitaji magari ya kubeba kokoto kutoka Lugoba-Dar ubungo terminal, tunalipa kwa tani 19,500, kampuni....JV LOGISTICS COMPANY, Mawasiliano 0715643896, 0783 643896
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tunahitaji magari kwa ajili ya kokoto kutoka Lugoba-Dar Ubungo Terminal, tunahitaji semi-trelar,tunalipa tani moja 19,500 na ushuru tunalipa sisi JV LOGISTIC COMPANY....Wasiliana kwa namba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi nina shida kuhusu hii AIRMAIL, Nimetumiwa package kutoka china kwa njia ya AIRMAIL lakini sijui hiyo package ntaipaje itakapofika na sijui itafikia ofisi ya carrier gani. Tafadhali naomba...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Wakuu nataka kununua ream kwa ajili ya stationery yangu je ni ream ipi nzuri yenye quality na haikwami kwenye mashine Kati ya hizi double A au mondi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…