IKIWA NDIO SIKU YA KWANZA.
Umefungua garage yako ya kutengeneza magari!!! ukaipa jina la "BMW garage"
ukitengeneza magari ya aina ya BMW tu!!
LAKINI MPAKA KUFIKA SAA NANE MCHANA HAKUNA HATA...
Hari zenu wanabodi,
Nahitaji mwezeshaji/mwekezaji ambae tutashirikiana ku-run project ya ujenzi wa mradi wa maji.
Contract na majadiliano ya returns as per capital invested yatafanyika kwa uwazi...
Wakuu,kati ya kufanya biashara ya kuuza nguo vyuoni hapa Dar kwa mtaji wa laki moja,na kufanya kazi kwenye godauni kwa mshahara wa laki moja kipi ni chema hapo jamani?
Nishaurini wakuu.nahitaj...
Hichi chama chetu cha TUICO mimi binafsi sikisomi kabisaaaa! Michanga mnapata tena kwa kutumia withholding method, inakatwa juu kwa juu lakini kwa nini maendeleo ya chama hatuyaoni ukilinganisha...
Habar wanaujasiliamali naomba mwenye ufahamu n.a. hii biashara anijuze sehemu yaan kuchukua mzigo na bei zikoje pia inalipa au nataka fanya hii kitu ..msaada
ndugu wanajamii.
Ninaomba ushauri, nimeanzisha biashara ambayo haijaanza kufanya kazi. Nilikopa SACCOS nikaanza kujenga eneo la ofisi, na mahitaji mengine yanayohitajika katika kuuza bidhaa...
For a long time The East African Tourism Industry has not captured Android and Apple/iOs Phones and Gadgets as a venue for marketing despite (Android and Apple smartphone vendors shipped a total...
Sekta ya Utalii Africa Mashariki ? Je, Wajua 65% ya Smart phone Duniani hutumia Android ?
Kwa muda mrefu Sekta ya Utalii ya Afrika Mashariki haijatumia technologia ya Android na Apple / iOS...
With sound macroeconomic fundamentals confirmed, African countries could expect increased interest by private equity investors in their small and medium enterprises.There is huge pent up demand...
Wana Jukwaa Hongereni kwa Kazi.
Ningependa kujua unapoanzisha kampuni ni wakati gani unahitaji kuacha unallocated shares. Faida yake nini na hasara zake ni zipi.Kazi njema
Salaam Wakuu,
Mimi sio mwajiriwa popote, nina shughuli zangu ndogondogo tu za hapa na pale. Nina shida au dharura ya ghafla ya kifedha kiasi cha Tshs 15Million.
Wapi naweza kupata kwa haraka huu...
Wafanyabiashara wa Nigeria washauriwa kuwekeza nchini
Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Daniel Ole Njoolay, akikata keki huku akishuhudiwa na Mwakilishi wa Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan...
Kwa ambaye amewahi kutumia Granite/Marble tiles na slabs za hawa jamaa wanaojiita China Gold Development Group (CGDG), je Gharama wanayotoza ya 26$ kwa square metre inaendana na ubora wa bidhaa...
Salam ndugu,
Naomba kwa anayejua anijuze ni namna gani nitaweza kuwatibu kuku wangu wa kienyeji kutokana na ugonjwa unaowasumbua.Ugonjwa huo unawatokea kuku ghafla na moja a dalili zake ni kuku...
Habari wanajamvi,
Naomba mnisaidie hili jambo,ninahitaji kuanzisha biashara ya kuuza uzi (kwa jumla) wa kufumia au siku hizi wanashonea nywele,tatizo sijui kiwanda kilipo,kariakoo nikienda...
Poleni na majukumu wana Jf,
Kwa mwenye kufahamu zaidi juu ya African life Assuarance naomba anijuze, walikuja kazini wakitafuta wanachama, nilisita kujiunga sababu ndo mara yangu ya kwanza...
Ndugu zangu, mimi nimekuwa nikitumia airtel line kwenye modem kupata internate na wakati mwingine kutumia kwenye Samsung galaxy tablet 2 kupata internante.Cha ajabu nikuwa hivi karibuni utanapata...
Salaam,
Nahitaji kutengeneza invoice book na receipt book kwaajili ya biashara yangu ndogo nnayoifanya nimeshatengeneza template yenye logo ya biashara.
Niwapi naweza pata huduma hii?
Asante.