Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mi msichana miaka 25 nasumbuliwa na maumivu kwenye titi la kulia linauma nikilibonyeza upande wa kulia na nikilalia nahic ugumu flani hiv wa chuchu tofauti na jingine laweza kua tatizo gani mana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF! Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa yote na wana JF kwa ujumla hususani uwanja huu wa JF Doctor. Nikienda kwenye mada ni kuwa mimi nina tatizo la kuumwa Malaria na Tyford sana. Na...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Uko kitandani na mke wako, leo hamtaki kukutana kimwili lakn unapenda mkeo afurahie uwepo wako kitandani. Njia gani itumike?
0 Reactions
5 Replies
16K Views
I can tell you firsthand that once you start taking the right kind of CoQ10, you'll know it without a doubt. You'll experience massive boosts in your mood, energy and brainpower, profound relief...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Je kupungua kwa homoni ya Gonadotropin kunaweza kusababisha mwanamke asipate mimba? ! Rafiki yangu amekaa na mke wake zaidi ya miezi 5 bila kupata mtoto baada ya kwenda kupima wote wawili dkt...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Je kupungua kwa homoni ya Gonadotropin kunaweza kusababisha mwanamke asipate mimba? ! Rafiki yangu amekaa na mke wake zaidi ya miezi 5 bila kupata mtoto baada ya kwenda kupima wote wawili dkt...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Je kupungua kwa homoni ya Gonadotropin kunaweza kusababisha mwanamke asipate mimba? ! Rafiki yangu amekaa na mke wake zaidi ya miezi 5 bila kupata mtoto baada ya kwenda kupima wote wawili dkt...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Ndugu habari ,naomba mnisaidie kuhusu hili,nimekuwa nikiugua mba kwamda mrefu na niendapo hospital hupewa dawa na niamiapo hupona kwa miez6>9 Lakini hurudia tena hvyo kwa anayejua kuhusu hili...
0 Reactions
0 Replies
604 Views
Habari wakuu. Mimi nina tatizo la kukosa usingizi muda WA usiku kwa muda mrefu sasa mwanzoni nilikua nadhani labda ni kwa sababu ya kuzoea kusoma usiku lakini baada ya muda WA kama miezi mitano...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wandugu mwenye kujua bei ya hiyo kitu hapo juu anipm na zinapatikana wapi. ahsante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Habarini wanajukwaa mimi ni mvutaji mzuri wa bangi na sigara nataka kuacha lakini nimeshidwa.ni saidieni njia rahisi za kukata hamu ya kuvuta sigara...
0 Reactions
Replies
Views
JF doctor's Nini kinasababisha maziwa/matiti ya mwanadada (20's - 40) kusinyaa hata kama hana mtoto? Hizi brazia zinaficha mambo mengi sana...ukitazama unaona kifua kinakualika ikifika kwenye...
0 Reactions
24 Replies
19K Views
wakuu salama.? kuna shangazi yangu analalamika sana kuhusu maumivu ya jointsi mwilini mwake.. haswa zile za vidoleni na mikono kwa ujumla.. mwenye ufahamu,pliz nahitaji msaada wenu ili...
1 Reactions
3 Replies
15K Views
Elimu
0 Reactions
0 Replies
751 Views
habari wana jf wote! bila kupoteza muda na kuwachosha ningependa kufahamu nini husababisha mwanamke kutokwa na damu mfululizo hata baada ya...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
  • Redirect
Wakuu naomba kuuliza wataalamu na wataaluma,hivi ni nini kinasababisha kwi kwi?
0 Reactions
Replies
Views
Hi to everyone,jamani naomba kujuzwa sababu ya baadhi ya wanaume kuwa na matiti na namna ya kuyaondoa.
0 Reactions
12 Replies
17K Views
Wakuu habari zenu! Kuna dent mmoja ambaye nimedate naye ila alinisumbua sana wakati wa ku do nasidhani kama nilifanikiwa kuvunja bikra yake kwa kuwa alikuwa akijibana...
0 Reactions
31 Replies
17K Views
habarini wana JF.ni kwa muda sasa huwa huwa nafatilia ni nini hasa chanzo cha gonjwa hili la ukimwi ambalo halikuwepo miaka kama 1960 na,iliyo pita na kwa nini limekaa sehemu ya pili kwa utamu...
1 Reactions
36 Replies
11K Views
Waungwana nini kinasababisha mtoto kufanana na mzazi mmoja wapo either mama au baba?
0 Reactions
15 Replies
20K Views
Back
Top Bottom