Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Je hii ni kweli kua vidonge hivi vinaharibu mimba changa? Mwenye uwelewa nahili anifahamishe
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wadau.! Mimi ni mnywaji wa pombe aina zote kuanzia laini sana kama castle lite,redds mpaka zile kali sana kama grants,konyagi yaani sprits,vodka,whisky lakini nakunywa sana chai, Siku...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Apcs kwa kushirikiana na amref kwa ufadhili wa sida kwa kupitia mradi wa tuitee tunatoa huduma za counselling kwa watu wote hasa vijana miaka 10 mpaka 24 1.tunafanya counselling kwa mtu mmoja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna emergency hapa mdada mjamzito kapata presha ya kushuka hapa hana nguvu ndo tunamwahisha hospitali. Huduma ya kwanza tumfanyeje meanwhile?
1 Reactions
11 Replies
27K Views
  • Redirect
MADHARA YA KIAFYA YASABABISHWAYO NA KUFANYA NGONO KINYUME NA MAUMBILE Ngono kinyume na maumbile au wengine husema Ngono kwa nyia ya haja kubwa, ni hali ya kingono ambayo muhusika huingiza uume...
2 Reactions
Replies
Views
hivi kuna madhara yoyote ya punyeto kwa mwanamke msaada plz.
0 Reactions
2 Replies
743 Views
Ngozi ya makende hutanuka sana wakati wa joto na kufanya yashuke sana chini. Wakati wa baridi hujirudi na kuwa kudogo km kawaida. Je kuna tatizo gani?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habar ndugu wanabodi. Tatizo hili sijui ni mimi tu au na wengine ni kwamba mtu yoyote akifanya kosa au kitu cha aibu ninakua ninaona aibu mimi badala ya yule aliyefanya aone mwenyewe"" Sijui ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
COCOLLAGEN --For a Beautiful Skin-A CHOCOLATE FLAVORED BEVERAGE ENRICHED WITH HIGH GRADE QUALITY MARINE COLLAGEN It provides elasticity and shape, giving skin its firmness as well as the ability...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
nilikuwa nauliza mwanamke hufika kikomo kuingia mwezini akiwa na umri gani? au kushindwa kuzaa
0 Reactions
17 Replies
23K Views
wanaJF naombeni msaada wenu. Mimi nasumbuliwa na kucha ya kidole gumba cha mguu,hyo kucha inaotea kuelekea pembezoni mwa nyama ya kidole na inaleta maumivu makali sana tafadhali nisaidieni
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari zenu jaman jana nliweka thread inayohusu maumivu ya titi la kulia so wadau wamenishauri niende nkachek ocean road km itakua cancer au la. me niko mkoani kwa yeyote anayejua gharama za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
This is obviously for the ladies only... Check out this amazing all-natural pregnancy breakthrough that permanently eliminates infertility issues without drugs or surgery. Stop wasting money on...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
  • Redirect
Wataalam, MTOTO WANGU ANA UMRI WA MWAKA MMOJA NA MIEZI MITATU, MKE WANGU ANA UJAUZITO WA MWEZI MMOJA. Je, kuna madhara yeyote ambayo mtoto anaweza kuyapata akinyonya katika kipindi hiki cha...
1 Reactions
Replies
Views
Ni nini husababisha kitovu kuwasha kwa ndani? Hakitoi uchafu/hakina uchafu wala sioni chochote,nikiingiza kidole nafanya kukizungusha tu vinapoa maana naogopa kukuna vinauma,hakiwashi muda wote...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Ninatatizo kila nikienda toilet kutoa haja kubwa ninapojikamua haja ndogo hutoka na shahawa,je ni tatizo gani hili,na nifanye nini?.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa anayehitaji msaada wa dawa ya kiasili itakayomfanya mwanaume achelewe kukojoa ktk tendo la ndoa,mimi ninayo dawa ya kiasili toka kongo iliyo ktk mfumo wa ungaunga itakayoondoa tatizo hilo mara...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Cure for baldness hopes raised as scientists create new hair follicles from human skin cells British and American researchers plan clinical trials after creating new hair follicles from human...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
naomba kujuzwa,nimeoa na mke wangu ni mjamzito miez 7,je kuna athar yoyote atakayoipata mtoto pind ntakapofanya mapenz na mke wangu??je mimba ikifka umri gan tunatakiwa tusitishe tendodo la ndoa...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Mi msichana miaka 25 nasumbuliwa na maumivu kwenye titi la kulia linauma nikilibonyeza upande wa kulia na nikilalia nahic ugumu flani hiv wa chuchu tofauti na jingine laweza kua tatizo gani mana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom