Kwa sasa neno "kibamia" wala halihitaji definition kwani limekuwa maarufu sana ila mimi kama Critical thinker nimejaribu kufanya rearch kwa kutumia source mbalimbali ikiwemo interviews, social...
Hivi mabilionea wa jf mpo wapi hebu jitokezeni mnyakue totozi kali,,tumechoka maskini tunataka tuonje ladha ya mabilionea ipoje
Maana huwa tunaona tu humu kila mwanaime ana pesa,ana gari,msomi,ana...
Natafuta mchumba baadae awe mke wangu.
Awe na sifa zifuatazo;
1.Mzuri kama Heaven on Earth
2.Tabia nzuri kama Heaven Sent
3.Awe na exposure kama kui
4.Awe amesoma na awe na akili kama Karucee...
Moja ya vitu nisivyo vipenda na vinavyokera kwa baadhi ya member humu JF, nikuquote uzi mrefu hadi mtu unaingiwa na uvivu wakupitia comment..sasa sijui ni ushamba au nini
shusha mambo yanayo...
Nawakumbusha tu mkae nakuelewa Hakuna kipengele kigumu kama pale linapokuja swala padre au baba mchungaji atakapowauliza waumini na watu waliokuja kuhudhuria sherehe yenu ya harusi, Je hakuna mtu...
Jana gari yangu murano ilikuwa service siku Jana!
Kwa hiyo nikafanya chanting zangu za hapa Na pale Na pikipiki Honda yangu!
Sasa nikiwa Mita kadhaa nyuma ya Mrembo bab kubwa nikashtushwa Na...
Yeaaah, mwanamke akishapata pesa tu kutoka kwa mwanaume huweza kusifia kila kitu.
Utafiti usio rasmi uliofanywa na Mimi mende msafi umebaini kuwa ukiishampa pesa mwanamke, mwanamke huyo anaweza...
Habari wakuu!
Jamani naomba mnipe idea nifanyaje kwa hili lililonikuta. Yaani asubuhi hii nimeenda Atm kutoa hela sasa baada ya hela kutoka nikachukua then nikachukua na risiti. Sasa kutokana na...
Wale watakaonielewa kwa hii salamu basi waitikie.
Tumsifu Yesu Kristu.
Sijui nianze kwa kujiuliza swali, hivi siku hizi viongozi wa dini wamechoka kuenzi na kuzingatia maadili ya dini...
Nyie mamods kwanza samahani ni, naomba msinipe ban maana sijawahi kupata ban kwa hiyo naomba msinipige ban kwa hii sledi wala msiifute.
Sasa ma mod mnajua nini, Mi naona mnajitesa sana kukaa...