JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huyu mzee nadhani anaishi mbezi beach au maeneo ya huko along bagamoyo road. Sasa akina siye tuendelee kujificha chini ya ujinga wa Magu kabana wakati wenzio wanamiliki vyuma vya maana kama hiki...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Leo asubuhi nawahi zangu kwenye majukumu ya kila siku nimekumbwa na balaa. Nilipokuwa napanda katika daladala ghafla suruali ikaachia(ikatatuka) kuanzia usawa wa maungio ya miguu mpaka usawa zip...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Wale watu wa kusini tukutane hapa sio kiukabila lakini lengo ni kufahamishana vituko vya kila mtu atokapo... Mimi natoka nachingwea mjini. Zamani tulikuwa tunaenda kuogelea bwawani kwa Nammwela...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
kuvurugwa ni pale mnapokuwa wengi kwenye usafiri mnapata ajali alafu unakufa peke yako wakuu inakera sana unaweza hata ukajinyonga aisee..:(:(:( ;);););)NDO NIMETOKA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natumaini hamjambo wote ... Kila kukicha majukumu yanaongezeka na ndiyo maana nimekaa kipindi kirefu sionekani hapa sebureni ... nimewamiss sana marafiki zangu wa JF lakini kikubwa zaidi ni kwamba...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwezi huu wa pili mwaka huu 2018 utakuwa ni mwema kwa wafanyakazi hasa mwishoni mwa mwezi. Hali itakuwa nzuri sana. Tuingie kwenye maombi MUNGU atusaidie.
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hapa utapata vichekesho vya mkude simba kwa kadiri nitakavyokuwa navipata sio mbaya kama nawe unavyo tukashare pamoja *********UPDATE****** VICHEKESHO VILIVYOONGEZWA NI VITATU VYA CHINI (kuanzia...
20 Reactions
68 Replies
26K Views
Wanaume tunajisikia poa kuponda wanawake. Sasa mkuki ukigeuka inakuaje.? Kabila lenye kuongoza wanaume ma Handsome zaidi nchini. Wanawake tu, wachangie hapa. No rules
0 Reactions
39 Replies
13K Views
wanabodi nauliza hivi nitusi gani ukimpa mtu ataumia?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mama leo kaamka akaniambia nipige deki me bila hiyana nikachukua lungu lililikuwa stoo nikaanza kupiga deki ya TV sasa ndo kaludi mda huu naona amechukua karatasi anapga mahesabu yake nahisi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naam! Ni rasmi kabisa kuwa, Joseverest na Khantwe wapo ktk penzi moto moto hapa jamvini. Couple hii ni changa kabisa iliyochipukia hivi karibuni ktk uzi huu Kama hawa wangetengeneza couple hapa...
11 Reactions
103 Replies
8K Views
et kwenye dirisha lao la usajiri nackia wanataka kumsajiri kiungo TRUMP ili aweze kuongeza mashumbulizi mbele katika mechi zao sasa cjui itakuwaje CHA KIBITI...
0 Reactions
1 Replies
799 Views
Mrembo alie tayari kula raha usiku huu naomba ajitokeze
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Huyu kaka yeye kaamua kabisa kusema Mama Sabrina unasifia wengine tu hata mimi je hata sisi wa jf tusifie sio Docta ulimwengu tu,nikasema sina hiyana mie ,sina upendeleo Ngoja mumuone akiona picha...
9 Reactions
539 Replies
20K Views
jamani wakuu nimesikia kuna nyimbo mpya ya Man Fongo na Chriss Brown nani anayo anitumie fasta maana kuna sherehe hapa jiran yangu kutoka kwa Mr Bob anaiulizia sana
0 Reactions
2 Replies
3K Views
hiv kwanini watu wapendanao wanapenda sana kuitana majina mazuri ya kimapenzi kwa kiingereza kama vile my honey,my sweet,my watermelon,my torch, kwani haya yakisemwa kwa kiswahili si nimazur tu...
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Najifunza kuandika thread.......Usiku mwema.
3 Reactions
58 Replies
4K Views
HIvi nikesema COTTON AND CONDITION OF YOU ndo kwa kiswahili wanasema PAMBANA NA HALI YAKO WALE JAMAA WA JAMAICA NDO WAMENITUMA NIULIZE LAKINI SIO MIMI
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…