Siku hizi kuna mitindo ya kutisha ya kudensi. Hii nayo kali mpaka ina
world cup yake eti mitaa ya South America. Kazi kweli kweli wanajamii!
The Miss Pole Dance Argentina 2009 competition was...
Naona hata huku kwetu ndio ofisi kama hizi zimeanza, Yaani ukifika hapo au maeneo hayo kama wewe ni mgeni usome bango hilo katika picha.
Kuuliza sh. 500
Kupelekwa sh. 1000
Kukaa sh. 100
Jina lake linatumiwa kuwababaisha Watanzania
• Linatumiwa kujilinda dhidi ya hasira za umma
• Ni kwa madai ya kuendeleza amani na utulivu
TAREHE 14 Oktoba mwaka huu unatimia...
Wakati Tanzania kukiripotiwa matukio mbalimbali hasa ya ajali za moto, leo nimenasa tukio lingine majira ya saa 8:50 mchana (2:50PM) katika eneo la Iyunga karibu na kituo cha garimoshi cha TAZARA...
Kuna mambo ambayo kwa uwezo wa kawaida wa mwanadamu tunaweza kudhani hatuwezi kufanya na endapo tutathubutu lazima tutumie nguvu zisizo za kawaida za uchawi au kutegemea miujiza ya Mungu...