Ukiona soli (shoe sole) ya kiatu inafikia hapa jiandae kukamata ajira. Lakini usirahisishe eti mwaka mmoja tu unalalamika ajira siipati. Sali sana, peleka maombi ya kutosha na wala usikate tamaa...
Nnachojiuliza!
Kwanini kituo cha mabasi ya abiria kiwepo katikati ya barabara?
Ivi hawaoni kutakua na usumbufu kwa raia wakati wa kurudi au kufata mabasi?
...
Then kama mtaiangalia vizuri hiyo...
<!--iOS/android/handheld specific --> Flight attendants can wait to serve food on night flights so that more people are asleep and they have less work to do.