Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Kuna madhara yoyote kwa mjamzito wa miez 6 kunywa pombe? Nijuzeni kwa mnaofaham maana stress zimezidi bora ninywe pombe tu.
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Imekuwa ni kawaida kwa madaktari wetu kukupa tiba na njia mbalimbali za kukuwezesha kupona ugonjwa unaokusumbua..Kwa kweli tunawashukuru kwa hilo....Swali langu ni je...! tatizo lipo wapi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kazi Ndugu zangu!! Kwa wale wote wanaosumbuliwa au kama una ndugu jamaa au rafiki anasumbuliwa na magonjwa Tajwa hapo juu (SIKOCEL & KISUKARI NA KUONGEZA CD4) napenda kuwaambia kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nisaidieni jamani yan haisimami tena nini dawa ya hili nitakimbiwa.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Masikio kuziba na kusikia sauti kama ngoma Wakuu wana JF, Madaktairi naomba msaada wenu wa tatizo langu la masikio kuziba na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kichwa cha Habari chahusika. Nikiweka simu sikioni kuongea hatakama ni kwa dakika 2 tu Kichwa kinauma sana na mpaka sikio linauma. Yapata wiki sasa tangu nianze kupata hili tatizo. Zamani...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Naombeni kujua dawa za asili za kutumia ili kuzuia ujauzito
1 Reactions
59 Replies
49K Views
Jamani JF doctor dawa ya kuondoa vile vipele wakati wa kushave ni ipi?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu wana JF, Madaktairi naomba msaada wenu wa tatizo langu la masikio kuziba na kuachia hasa napopatwa na mafua pia usiku, yana toa sauti kama ngoma iliyopigwa. Nilipewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhali naomba msaada kwa yeyote anayemjua Daktari mzuri anayeweza kutibu matatizo ya msuli kuvimba, kuna ndugu yangu anatatizo la kuvimba msuli wa paja kwa nyuma umevimba na una muuma sana ...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati wa ujauzito mwili hutengeneza asilimia 50 zaidi ya damu na maji maji ili kumtosheleza mama na mtoto. Kuvimba kwa mwili wa mama ni kitu cha kawaida kwa ajili ya kuongezeka kwa damu mwilini...
1 Reactions
0 Replies
15K Views
VIASHIRIA VYA HATARI KWA MWANAMKE MJAMZITO. Hivi ni viashiria au dalili ambazo akiwa navyo mjamzito ni hatari kwake na kwa mtoto.Kwani huenda vikasabisha kifo kwa mama au mtoto au wote wawili...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mambo wana JF Doctor, Kuna rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo la kutokwa na maji njia ya haja kubwa yenye harufu kama mavi, kama alivyonielezea nikashindwa kumpa ushauri na badala yake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JF Doctor, madaktari na wanaJF concerned, kuna mtoto aged 7 or 8 amekuwa anatokwa na haja kubwa kiasi kidogo lakini bila kujijua. Ameisha pelekwa kwa madaktari mara kadhaa, amechukuliwa vipimo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Please kila siku ya mungu lazima nijiwashwe tena hata mara 100 alfu navimba hivi tatizo ni nini jamani naombeni mnisaidie.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalamu wadai ni chanzo kikubwa ongezeko la saratani Ulaji wa kuku wa kisasa au broila' umeelezwa na wataalamu kuwa...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari zenu madaktari wa JF, natumai mmeamka salama kabisa. Tatizo langu ni hivi, nimekua mtumiaji wa chumvi sana yani kila chakula ntachokula basi lazima niongeze chumvi mbichi, mf. ugali na...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Jamani naombeni msaada kuhusu ugonjwa wa athma,chanzo chake ni nini na je mtu akiugua anaweza kupona.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ma-Dr. Nina mtoto wa kike ana miezi mitano ila kila akikalishwa huwa hawezi kaa. Naomba mnijuze mtoto inabidi aanze kukaa akiwa na umri gani, na kama ndani ya umri huo hajaanza kukaa tatizo...
1 Reactions
33 Replies
23K Views
Kwa ajili ya kupata mzuka kidogo na kupata usingizi haraka huwa natumia bia 2 hadi 4. Kulingana na gharama nafikiria kuwa nachanganya Dompo na konyagi kidogo. Kiafya imekaaje wadau?
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…