A new scientific study has shown that sleeping with your phone on can result in obesity.
Scientists in Spain have found that the artificial light emitted from the screens of phones, tablets...
Habari wapendwa.
Nahitaji msaada au ushauri wa kimatibabu kwa yeyote aliwahi kuugua OVARIAN CYST, hata kama hujawahi kupata tatizo hilo ila kuna mtu unaemfahamu aliwahi kusumbuliwa na tatizo hilo...
Habari wana JF.
Juzi kati dadangu na mumewe walienda kwa docta na mtoto wao wakiume, umri miez 8 kutaka kumpatia sunna (kumtahiri). Docta akawaambia si vema kufanya tendo hilo katika umri huo...
Habari wana jf, tafadhalini naomba msaada kwa yoyote anaejua hili tatizo.
Siku zangu za hedhi zimekua chache sana, naenda siku moja tu basi. Haikua hivi mwanzo, kabla sijapata miscarriage nilikua...
Mke wangu ana ujauzito,ameenda hospitali amepimwa kama ilvyoada,amepewa majibu yote,isipokua ya vvu,ameambiwa paka mimi niwepo.je ni sawa yeye kunyimwa majibu paka mimi ni wepo?mimi npo mbali...
Natanguliza heshima kwenu,
Nawaombeni tumsaidieni huyu dada, tatizo lake anapofanya sex hujisikia raha inapochukua mda kidogo hupata maumivu makali sana, ili hali uke unakuwa umetota namanisha...
Je ni madhara gani anaweza yapata mama mjamzito endapo siku zake za kujifungua zimefika na chupa imeshapasuka na hasikii uchungu ushauri namna ya kumsaidia huyu dada jamani Mzizi mkavu
Wakuu natoa dawa ya sukari bure kabisa.Unachotakiwa kufanya ni kunipigia simu na kunielekeza mahali ulipo na dawa utaipataje then unatuma nauli nakutumia dawa.Kwenye suala la nauli madereva huwa...
Wadau hebu nisaidieni,huyu ndugu yangu ana dalili hizi; anaumwa joint za magoti,anaishiwa nguvu,akiwa na njaa anahisi kutetemeka,anapungua wakati mwingine mwili wake unarudi kama kawaida.mara...
Panic attack ni nini?
Panic attack ni uoga mkubwa unaompata mtu.uko kwenye kundi la magonjwa ya wasiwasi (anxiety disoders). Uoga huu huweza mpata mtu kwa sababu maalum kama vile kuona nyoka...
Habari Ndugu zangu.
Uso wangu umefubaa baada ya kutoka uzazi na hauvutii. chunusi na mabaka kwa wingi. yani nimeparara haswa.
nitumie nn niwe smooth. mie ni mweusi. thanks in advnce
Habari zenu ndugu wanajf
Naomba msaada wa kujua hospitali bora zilizoko jijini Da es salaam na maeneo zilipo ndani ya Da es salaam.
Naombeni msaada wenu tafadha, nikipata kuzijua 10 zinatosha.
Habari wakuu,yapata wik 2 sasa nimekua nikitokewa na hali ya uume kusimama kwa more than 2-3 hours bila kurejea katika hali yake hasa kuanzia saa10 usiku mpaka sa moja, JE tatizo yaweza kua nini...
Wataalamu wa afya, baada ya kufanya mazoezi mwili unakuwa umechemka na mapigo ya moyo kwenda mbio.
Je, ni sahihi kuoga mara baada ya mazoezi au natakiwa kusubiri kwa muda gani?
Je, kama...