Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mdogo wangu ambae ananisaidia kazi zangu,miezi miwili iliyopita aligundulika ana TB. Iligundulika baada ya kuwa na kikohozi kwa muda mrefu bila kupona. Alipoenda kupima kweli ikawa ni TB na sasa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
jamani naomba mnisaidie kuna rafiki yangu kaja kuniuliza kuhusu hii dalili,,,, ya mapigo ya moyo kudunda fasta kwa muda wa siku tatu sasa,,,, alafu katoka kudate na mwenza wake wiki mbili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau, Nimejiuliza Swali Hilo Bila Majibu, Ikitokea Mtu Anaumwa Labda Kichocho,kaswende, Gono, N.K, Je Akimpa Mimba Msichana,mtoto Atakaezaliwa Atakuwa Na Afya Kweli?Au Hatakuwa Na Tatizo Lolote...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina umri wa 29, sijaoa bado. Wadau,naona kila kukicha nashindwa kufikiri,pia uwezo wangu wa kaz unapungua. Hata kuongea naona kaz kwel! Nashndwa hata kuweka nyumba yangu safi kama kjana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jaman wapendwa mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, mara nyingi huwa napata maumivu ya tumbo chini ya kitovu, hili linaweza kuwa tatizo gan?
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Ndg, wanajamvi nahitaji kufahamu ukweli huu Wa kuwa kinyesi cha mnyama tembo kinaweza kutumika kwa kutibu kifafa na je, dozi yake inatumikaje? Naomba nipate faida kutoka kwenu wataalam ili...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Jaman tuwasaidie hawa watu hata kwa mawazo, kuna rfk yangu ana mpenzi wake kuna siku walifanya mapenzi na baada ya siku mbili mwanaume alianza kutokwa na kitu kama usaha sehemu za siri na alienda...
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo...
1 Reactions
54 Replies
21K Views
Habari wataalamu, Naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo, imewahi kunitokea kama miaka miwili iliyopita, uume uligoma kusimama wakati wa tendo la ndoa, hali hiyo ikadumu kwa wiki mbili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna wakat nilitokwa vipele kadhaa n vilipopona vikaweka uvimbe mgumu sana katika makovu,je unaitwaje,tiba yake ipi?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
niliwahi kusikia kuna dawa au sindano unaweza kutumia ili usiwe na hamu ya kufanya ngono,nilikuwa naomben maelezo kama kuna huduma hii ya kuzuia kufanya ngono labda kwa kipindi fulani hivi,na ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
drs. msaada wenu hapo juu. mke wangu anatatizo la maziwa kuwa makubwa usikuu na mchana yanapungua, tatizo litakuwa nini
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari jamani, Naomben msaada mwenzenu korodani yangu moja ni ndogo mno mpaka napata tabu ninapokuwa na mwenza wangu.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Ndugu madokta naombeni msaada wenu... Mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 22, urefu cm 176, kiuno inch 32 kilo 55 Mimi ni mwembamba sana kiasi cha jamii kunishangaa hata kudai mm ni...
1 Reactions
45 Replies
11K Views
ananiomba ushauri afanye nini juu ya tatizo hilo, wachache aliowaomba ushauri wamemwambia sababu yeye ni bonge hvyo inabidi apunguze mwili, lakini process hii matokeo yake si leo wala kesho, mimi...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Wakuu habar zenu natumai mko poa..naomba kueleweshwa km hii kitu inafanya kazi katika kupata mimba pindi ufanyapo mapenzi siku ya 3 au ya 4 kabla ya kupata period na ikiwa umeshaona dalili zote za...
1 Reactions
25 Replies
29K Views
Wakuu habar zenu natumai mko poa..naomba kueleweshwa km hii kitu inafanya kazi katika kupata mimba pindi ufanyapo mapenzi siku ya 3 au ya 4 kabla ya kupata period na ikiwa umeshaona dalili zote za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wandugu, ni miezi 7 tu iliyopita nilipata mtoto wa kiume na ndio mtoto wangu wa kwanza, sasa tatizo ni kuwa ana toa sana jasho, yan ukimlaza sehemu, baada ya muda unakuta ameshapalowesha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habar zenu wanaJF, mi ninatatizo linanisumbua sana tokea zamani kama miaka minne iliyopita japo liliacha lakini sasa limeanza kurudi tena mala 1 moja, ni tatizo la kukosa nguvu mwili mzima usiku...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Habari waungwana.....ni hivi nina mtoto wa dada yangu ama umri wa mwaka na nusu,lkn ana uzito wa kilo kumi na nusu.Leo nimpeleka kliniki wanasema aongezewe lishe.lakini mtoto anakula...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…