Ukweli Kuhusu UKIMWI ni kitabu kinachotoa maelezo yanayoipinga dhana inayosema ugonjwa wa UKIMWI husababishwa na Virusi Vya Ukimwi (V.V.U) kupitia maandiko kadhaa ambayo yameshaandikwa na...
Dalili za vidonda vya tumbo.
dalili zipo nyingi lakini kubwa ni kusikia maumivu kwenye mvuko wachakula na kusambaa hadi juu ya kitovu
pia kama ni vidonda vya tumbo vilivyo sababishwa na...
Habari, wataalamu
Kuna rafiki yangu anatatizo linamsumbua. Yani aking'atwa na mbuu anatoka vijipele au kuvimba na akijikuna inatoa kama ngozi, je hili tatizo ni nin??? MziziMkavu na wataalamu...
TATIZO LA KUTOA MANIII YENYE MBEGU CHACHE (OLIGOSPERMIA) FAHAMU SABABU DALILI NA MATIBABU
Ni ile hali ya manii ambayo mwanaume kuyatoa baada ya kufika kileleni kubeba mbegu chache ambazo ziko...
Tangu saa 3 tupo kituoni chanjo hizi za kampeni zimeisha.wametuambia tusubiri wataleta tumesubiriiii weee bado hadi sasa.itabidi kuondoka na kurudi tena.
Ushauri kwa wizara: mnapotangaza muwe...
Nilikwenda kufanya kipimo cha ultrasound kwa ajili ya tatizo la uzazi dokta akanipima ini na figo akaniambia kuwa ini lina mafuta. Naomba wenye utaalamu mnieleweshe mwenzenu ini kuwa mafuta...
Asilimia 50 ya wagonjwa wanaotibiwa Muhimbili, kitengo cha Fiziotherapia, wanaumwa magonjwa yasiyoambukiza. Hayo yalielezwa jana na Katibu Mkuu wa Chama cha Madaktari Wazoeza Viungo Tanzania, Dk...
Mzee wangu anatibiwa katika hospital moja jina naomba nisilitaje kwa usalama wa mgonjwa.kapiga CT I.V.U Majibu Yakatoka Tukayapeleka Kwa Specialist Wa Matatizo Ya Figo.Huyu Akasema Kwenye Figo...
Wana jf habari,?
Nilileta uzi wangu humu kuhusu hali yangu ninayo iona pindi ninapojisaidia haja kubwa ya kuona kama mucus au kamasi zikitoka na haja. sasa basi wadau wakanishauri niende...
Habarini ndugu,ningependa kujua ni njia gani sahihi naweza kuitumia kuongeza ukubwa wa maumbile yangu ya kiume kwani ni madogo na yananiathiri sana kisaikolojia kila ninapoyafikilia
wanajamii ningependa mwenye kujua juu ya wanawake wenye jinsia mbili..ni kweli wapo na je kweli viungo hivyo vyote vinafanya kazi..
nahitaji msaada wenu nipate kujua tu
Habarini wakuu.
Naomba kujuzwa kuna hawa watu wanaoshtukashtuka akipigiwa horn ya gari, kupuliza mdomo(mluzi) n.k watakuwa na tatizo gani kiafya?
KUMBUKA: Kuna wenye mabusha na wasio na mabusha...
Mashine iliyotumika kuuhisha moyo uliokufa na kisha kupandikiza kwa mgonjwa
Madaktari wa Australia wamefanikiwa kuwarejeshea uhai wagonjwa watatu baada ya kupandikizwa moyo uliokufa katika...
Habari wadau.. Asalaam aleykum.. Bwana yesu asifiwe.
mimi ni kijana mwenye miaka 25
nimesoma boys school kwa miaka 6..kiukweli kama mjuavyo maisha ya boys.. Nilikuwa napenda sana kutumia...
salaam jamani,
samahan naomba kujua nini tatizo langu. katika hali ambayo siyo ya kawaida nikienda haja kubwa huwa naona vitu kama uteute mweupe umeambatana na kinyesi.
naomba kujuzwa...
Hii dawa nimeiona kwa page ya mtu nikaona nilete JF Doctor labda kuna mtu atasaidika sijui chochote nimecopy na kupaste namuita babu MziziMkavu ili kama ni sumu akemee mapema aliyepost katumia na...