Napenda kujua kama kuna tiba au suluhisho kwa mtu mwenye tatzo la figo kuwa chini kuliko sehem inayotakiwa,mke wang anashida hyo na inampa maumiv makal sana hasa wakat wa tendo la ndoa.Figo yake...
Je, unajua kua mshtuko au Hofu iliyopitiliza ni ugonjwa na kua unatibika? Watu wenye tatizo hili huwa hofu kubwa wakati mwingine bila sababu; huhisi kama wanashindwa kufikiri vizuri; Wanashindwa...
Habari zenu,
kutokana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia watu wengi wamekuwa na matumizi ya computers hasa maofisini kifaa hiki kinaweza kukuletea matatzo ya macho pia kuna wale wenye matatzo...
HABARI WAKUU WA JUKWA HILI...NINGEPENDA KUJUA KITU KUTOKA KWENU.kwa mfano mwanamke amefanya mapenzi siku ya kumi na tano.AKAAZA KUTUMIA vidoge vya majira familia kuazia siku hiyo..je ataanza kuona...
Kitaalam tatizo hili linajulikana kama INTERMITTENT EXPLOSIVE DISORDER (IED) na dalili zake ni
· hasira za ghafla zilizopitiliza (explosive outbursts of anger to the point of rage)
·...
Wanajamii habari za masiku?
Naomba mnisaidie hili tatizo ili niweze kumnusuru ndugu yangu.
Nina ndugu yangu ambae yeye ana hasira sana. Pia ni mtu ambaye huwa ni negative thinker, yaani endapo...
Habari zenu humu ndani. Naomba msaada wa kueleweshwa, mama mjamzito aliyeshauriwa kuzaa kwa operation kwa sababu mtoto hajageuka atapaswa kusubiri wiki ya 40? Au itabidi apasuliwe kabla ya wiki ya...
Jamani naumwa malaria tangu jumamosi na nimeenda hospital na kutibiwa kwa sasa nina nafuu kubwa tu. Tatizo lililojitokeza ni hili Jana jioni wakati naoga nikashangaa kuona kovu kama la kuungua...
Wana JF naomba mnisaidie kwani nna tatizo ambalo kuna wakati sehemu za siri kunavuta na kiuno kinashika kiasi ikitokea hiyo najikunja na kutembea kama kikongwe.Inatokeaga ghafla,Sijazaa bado...
Habari wana Jamiiforums. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mke wangu kwa siku za hivi karibuni wakati na baada ya kusex analalamika ya kuwa anawashwa sana ukeni, tofaut na mwanzo mpaka hataman...
Heshima kwenu wana jamvi...!!
Nimekua na tatizo la kuongezeka kwa mapigo ya moyo kila niamkapo asubuhi.
Hali hii imenianza kwa zaidi ya wiki moja sasa, na pia mapigo ya moyo huongezeka kuanzia...
Kuna Energy drink inaitwa ni energy drink iliyotengenezwa na caffen ya asili inayotumika nchini Brazil. mtumiaji wa kinywaji hiki ataweza kupata faida zifuatazo:
Huondoa maumivu ya kichwa kwa...
Wakuu tulipanga kutoa dawa hii kwa watu 15, lakini mpaka sasa wamechukua watu 11 (kumi na mmoja) tu
Watu wanne wamepiga simu na kushukuru kuwa dawa ni nzuri imewasaidia sana.
Wawili wamesema...